Soko la waliosoma sheria (LLB)


Fayamario,
asikudanganye mtu hakuna wakati soko la ajira ya wanasheria litapungua! idadi ya wanasheria tulio nao ni ndogo mno! we piga shule uwe wakili. For your information upto August 2011 nchi hii ina mawakili 2300 tu wanaohudumia watu karibu milioni 40. Tatizo lililopo ni kuwa wanasheria wengi wako mjni hasa dar, Mwanza na Arusha. Inategemea ni kwa kiasi gani wanasheria wanabadilika na kuamua kwa makusudi kwenda pale huduma yao inapohitajika zaidi.

Nitakupa mifano:
1. Mkoa wa Mtwara una High Court Zone na majaji wawili lakini wakili ni mmoja tu. Hapa panahitaji mawakili zaidi ya kumi (at least). Demand ipo.
2. Mkoa wa Mara una kesi za mauaji za kutosha na border post ya Sirari. Hapa pana hitaji mawakili zaidi ya 15 lakini yupo mmoja. Migori iliyopo 5 km from Sirari on the Kenyan side wako advocates 15 na hawawezi kuhandle cases.
3. Mkoa wa Tanga una High Court Zone lakini una advocates 5. Mombasa which is only 3 hours from tanga ina advocates 70 na hawatoshi. (Mind you hakuna tofauti san ya cultures kati ya Tanga na Mombasa).
4. Tabora ina High Court Zone inayohudumia mikoa ya Tabora, Kigoma. Kuna kesi za mauaji zaidi ya 3000 hazijaanza kusikilizwa kwa kukosa mawakili. Mawakili wako 5. Wako busy kweli.
5. Lindi, Manyara hazina mawakili,
6. Mikoa ifuatayo ina mawakili (roughly) kama ilivyoainishwa Singida (4), Pwani (2), Dodoma (10), Mbeya (5).

Hapo nimetaja mawakili. Sikuongea suala kwamba wilaya 80 Tanzania Bara hazina mahakimu wakazi hata mmoja (ili uwe RM unahutaji LLB). Normally kila RM's court inatakiwa iwe na at least 3.

Kwa hiyo demand ipo ya kutosha na soko lipo.

what we need to do as lawyers:-
1. Get out of mentality kuwa ili uwe sucessfull lazima uwe katika miji mikubwa
2. Forget the dreams za kutaka kuajiriwa na kuembrace ujasiriamali
3. Seek how you can develope the passion to help poor people and middle income earners who will glady be your clients forever
4. MOST IMPORTANTLY - create the demand for legal services. Charge reasonably. let people know that you are a person they can turn to. I can assure you that many people fear lawyers n they dont come to them for assistance.

Jiulize watanzania wangapi wasomi kabisa wa digrii hapa mjini including lawyers wanasaini mikataba ya upangaji wa nyumba au ya ajira bila kushirikisha wanasheria. Ukipata hiyo idadi utaelewa demand ni kubwa na supply for the next ten years haitatosha.
 
mhhhhhhhhhhhhh! vichwa vya panzi tumetulia tuliiiiiiiiiiiiii tunangoja muanze na kukoti baadhi ya vifungu tubaki tunacheka tu humu.
 
mhhhhhhhhhhhhh! vichwa vya panzi tumetulia tuliiiiiiiiiiiiii tunangoja muanze na kukoti baadhi ya vifungu tubaki tunacheka tu humu.

Heheheee makaka wasomi na wadada wasomi wanakutisha?
 

You've painted a rosy picture but I doubt if it squares with the actual realities on the ground.

And you say people fear lawyers. What's there to fear about them? Are you talking about their affordability or something else?
 
You've painted a rosy picture but I doubt if it squares with the actual realities on the ground.

And you say people fear lawyers. What's there to fear about them? Are you talking about their affordability or something else?

msamehe bure
 
You've painted a rosy picture but I doubt if it squares with the actual realities on the ground.

And you say people fear lawyers. What's there to fear about them? Are you talking about their affordability or something else?

ni gharama asilimia kubwa ya watanzania ni maskini na ignorance kwa hiyo tunakosa confidence...ushauri wa kisheria sio chini ya sh 20,000 kwa hapa mjini ambako mawakili wanapatikana kwa wingi je huko rural kwenye scarce ya lawyers
 
sawa sawa ni hili ndio tatizo kubwa la wabongo always looking for marks tu, class, number....... guys what matter jamani can stand with your two feet kuitetea hiyo G.P.A yako...... iyo 1st class una deserve? au iyo upper 2nd do you deserve it? embu tubadilike jamani
 
[mikatabafeki;2577525]usiogope mdogo wangu waambie nyumbani wakulipie ada then chakula ntakuwekea bili kwa CHACHA au DADA GIFTI,stationery utaenda pale KYUNGU napo ntwaweka bili,bia utakunywa GREEN au kwa BAUNSA, watto wazuri pale MATOLA na NYERERE hall

Kaka Mikatabafeki Mwambie dogo asiwe na hofu, na mimi nitamuongezea support ya kumtafutia Madege ya kumfulia nguo, bila kusahau kidem cha first year KINGO, plus hostel nitamuhonga NCHIMBI akupange KIKENGE cha peke yako, kuhusu QMS usiwe na wasi wasi TUKAE ameshaconfirm kuwa LLB hakuna hesabu so hatakukamata, but BENJA atakutingisha kidogo then atakupa C kwenye report ya 3rd year kama zawadi,,, kuhusu mwenyeji nimeshamuandaa mtu akupokee CHANGARAWE kanisani.....
 
inaonesha ni jinsi gani hauko makini na unacho andika kaka! watu wanafanya registration kuanza pilika za lecture we ndo unaulizia madoido na kulinganisha course? we kasome hicho walichokupa TCU kama hujachaguliwa endelea wacha outdated issues!
 
usiogope mdogo wangu waambie nyumbani wakulipie ada then chakula ntakuwekea bili kwa CHACHA au DADA GIFTI,stationery utaenda pale KYUNGU napo ntwaweka bili,bia utakunywa GREEN au kwa BAUNSA, watto wazuri pale MATOLA na NYERERE hall

kote huko unamtafutia magonjwa kama kuhara damu,kichefuchefu cha mara kwa mara,tumbo kuunguruma chini ya kitovu.
 
hakuna course bora kuliko nyingine..cha msingi utoke na GPA nzuri. Thats it.

Nani aliyekwambia siku hizi tunaajiri GPA ha ha ha ha ha ha!!! Mkuu siku hzi is all about altitude,even if you have GPA of 4,kama uwezi ku-prove altitude yako,your going to hell,imegundulika kuwa GPA za wanafunzi wa vyuo vingi kuwa ni za kuchakachua hasa za wanafunzi wa kike,Nilikuwa naongea na HR Manager wa Tanesco Arusha region,aliniambia watoto wa kike wanajifanya wanaongea slung sana,lakini kwenye kazi ni upupu mtupu...achana na propaganda za 1947 kuhusu GPA...soma huku ukijenga altitude yako lakini pia hakikisha GPA inakuwa nzuri...
 

Altitude na ajira? Hebu nipe ufunuo zaidi ndugu...
 
kwa kweli hali ya wanasheria wahitimu inakera nimegraduate mwaka jana nimevolunter weeee mpk n imechoka tena bora now nimeona niende mzumbe nikasome hr cz hali mbaya hii course jifikirie mara mbili ukienda kusoma na nina gpa nzuri ila duh hali si hali
 
ni gharama asilimia kubwa ya watanzania ni maskini na ignorance kwa hiyo tunakosa confidence...ushauri wa kisheria sio chini ya sh 20,000 kwa hapa mjini ambako mawakili wanapatikana kwa wingi je huko rural kwenye scarce ya lawyers

Tatizo la kwanza ni umaskini, nani atakubali kulipa shs 20,000/= ili aambiwe kuwa facts zake hazijengi kesi. Shs 20,000/= ni debe ngapi za mahindi, mtu anaona ni bora ale kuliko kwenda kwa wakili.

Tatizo la pili ni ignorance kama unavyosema watu hawaelewi kwa nini wakili alipwe kwa ajili ya kuongea tu. Kuliko kutoa hizo hela afadhali akaongee mwenyewe.

Mwisho mawakili wanastrive zaidi mahali ambapo pana biashara iliyoshamiri bila hivyo biashara haiendi
 
4. MOST IMPORTANTLY - create the demand for legal services. Charge reasonably. let people ....
Hii ni kweli kabisa, nimeenda kwa ma lawyers fulani wa land law ofisi kuuubwa Mkapa Towers, shida yangu ndogo tu, wani failie application za Certificate of Ocupancy mimi nina letter of offer na ma risiti yote ya kodi ya kiwanja. Wakadai laki tano. Nusu milioni ku file papers na kugonga mihuri ya notary public na kumpa messenger wao apeleke Ardhi kwa mguu? Nita file mwenyewe, najua wazito kibao Ardhi pale ila huwa napenda kufata mistari na huwa sipendi kuomba omba favor za ndugu na jamaa maofisini. Hawa ma lawyer wananilazimisha nifanye hivyo.
 
Hii ndio inaonyesha nchi yetu ni maskini kwani kijana ukisoma LLB haina ubaya kwani nchi zilizoendelea kuna progressive training, mfano UK unaweza ukasoma LLB na kwenda kuongeza kusoma Medicine Doctor. Wizara ya kazi mnawajibika vipi kuingiza progressive professional training. Haijalishi kuna dogo alisoma Marine Engineering akaamua kuendelea na electrical.
 

Vitu vinavyoweza kukusaidia kupata ajira ni "speciality" sijaua nisemeje kwa kiswahili fasaha ila angalia namna uchumi wa nch i unavyokua then angalia hapo badae watu,makampuni, viwanda, wawekezaji etc vitahitaji sheria gani ziadi na migogoro itakuw aje. let say intellectual property, pertoleum
 

hii hatari hasa! Na BBA nayo karibu inasaturate au tayari make kila mtu akipata vimarks vya ajabu ajabu au baada ya kusota na kuresit muda muda akipata vicredit utasikia anasoma BBA sijui ni mteremko au! yetu macho na tz ya Sharobaro JK
 
usiogope mdogo wangu waambie nyumbani wakulipie ada then chakula ntakuwekea bili kwa CHACHA au DADA GIFTI,stationery utaenda pale KYUNGU napo ntwaweka bili,bia utakunywa GREEN au kwa BAUNSA, watto wazuri pale MATOLA na NYERERE hall

du nimejikuta kwa dada jift ghafla asante kutukumbusha mzumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…