Soko la Zabibu fresh toka Dodoma

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Wadau nina uwezo wa kupata Zabibu za kutosha tu kutoka Dodoma ila sijapata acces ya soko lake either kwa Dar au mkoa wowote, kwahyo km kuna mdau yeyote ana acces ya soko anicheki tufanye mchakato.

Kuna mdau alishawahi kusema kuwa TBL wananunua zabibu ila sjapata taarifa za kutosha km ni kweli au vp,mwenye taarifa basi usisite kuweka hapa.

Natanguliza shukrani.
 

mkuu ninavyojua mimi huko ndko kuna soko zuri maana wanakuja nunua huko huko shambani ...mimi nilishawahi kuliona hilo mpunguzi hapo
 
Mleta mada je zabibu unayo nyingi kiasi gani
 
mkuu ninavyojua mimi huko ndko kuna soko zuri maana wanakuja nunua huko huko shambani ...mimi nilishawahi kuliona hilo mpunguzi hapo

Mimi pia nataka kununua huko mashambani nipeleke sokoni na kwa sasa niko mpunguzi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…