Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Wadau nina uwezo wa kupata Zabibu za kutosha tu kutoka Dodoma ila sijapata acces ya soko lake either kwa Dar au mkoa wowote, kwahyo km kuna mdau yeyote ana acces ya soko anicheki tufanye mchakato.
Kuna mdau alishawahi kusema kuwa TBL wananunua zabibu ila sjapata taarifa za kutosha km ni kweli au vp,mwenye taarifa basi usisite kuweka hapa.
Natanguliza shukrani.
Kuna mdau alishawahi kusema kuwa TBL wananunua zabibu ila sjapata taarifa za kutosha km ni kweli au vp,mwenye taarifa basi usisite kuweka hapa.
Natanguliza shukrani.