Soko na bei ya madini ya amethyst Tanzania

wanchijiko

Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
20
Reaction score
14
Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla,

Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa kuanzia 3g nakuendelea ,kilo inakua bei gani?

Na je ukizalisha soko lipo la uhakika au adi upate order ndipo uzaliashe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…