Soko na biashara ya mafuta ya kupikia

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
86
Reaction score
92
Habari,

Naomba kujua kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia.

Utajuaje mafuta ya kupikia yanapanda au yanashuka Bei?

Mawakala wa mafuta ya kupikia wanapatikans wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…