Soko ndani ya JF linadai Matchmaker forum........................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Nimepitia maoni ya wana-JF wengi humu na kubaini kuna kiu kubwa ya forum ya matchmaker.....................wako wengi wanataka uchumba au urafiki lakini wanajimungunya humu kwa kukosa forum sahihi ya kujimwaga.............................

Sijui wenzangu mnalionaje hili.................................lifanyiwe kazi au la......................
 
Lifanyiwe kazi,wasaidike wenye uhitaji huo.....i hope majukwaa mengine hayatamezwa......l.o.l:laugh::laugh::laugh:
 
wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi
 
wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi

Hiyo avatar nimeipenda!! big up yourself Preta......:laugh::laugh::laugh:
 
PHP:
Lifanyiwe kazi,wasaidike wenye uhitaji huo.....i hope majukwaa mengine hayatamezwa......l.o.l:laugh::laugh::laugh:

yakimezwa hakuna shida kwa sababu lengo ni kukidhi mahitaji ya soko.............................na hiyo matchmaker wahusika ni lazima wabandike picha kibao kutoa mwanya wa wale wanaowatafuta waweze kufanya maamuzi saawia..............................bila ya picha maamuzi ni kigugumizi......................................

Na itoe nafasi kwa wale wenye maeneo ya karibu kuweza kuwasiliana.............yaani forum zinaweza kugawanyika kimikoa kurahisisha mawasiliano na kujua wapi utapata watu wa sehemu ulioko...............tujuavyo............................distance sometimes is a barrier to meaningful romancing the stone.............in particular.....................................
 
Best vipi ww umeshapata au bado upo upo :coffee:
 
PHP:
wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi

basi tuendelee kukumbushia.................................
 
PHP:
Best vipi ww umeshapata au bado upo upo :coffee:

Swali hilo niulize kwenye PM yangu nitakupa jibu la uhakika.............................
 
A new look.............fort Maria Roza...........this time around?????????????????????

PHP:
wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi

Tutoe maoni ya jinsi ya kuliboresha hilo jukwaa liweze kukidhi mahitaji ya soko.........................
 
PHP:
Best vipi ww umeshapata au bado upo upo :coffee:

Swali hilo niulize kwenye PM yangu nitakupa jibu la uhakika.............................

Ngoja nije pm inaweza kuwa bahati yangu hahaaa
ila mkuu akifanya hivyo itasaidia sanaa
 
mi cjambo mpenzi,,hiyo terat hiyo!!!haya basi hebu msikilize klorokwin hapo juu

huyu klorokwin alininyanyasa sana kipindi cha nyu yia....kutesa kwa zamu bana....acha ajibebe
 
huyu klorokwin alininyanyasa sana kipindi cha nyu yia....kutesa kwa zamu bana....acha ajibebe
yaani madaktari waliniambiaga ukipotea siku nne tu zaidi mie napoteza uhai, dah! hii skukuu ya leo kuliko krismasi
 
huyu klorokwin alininyanyasa sana kipindi cha nyu yia....kutesa kwa zamu bana....acha ajibebe

Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…