Kuna swali najiuliza,
Hivi likiwepo jukwaa la matchmaker (matchmaker forum),
Halafu watu wakaanza kupigana vibuti, ni nani atakuwa anaamua huo ugomvi??
Watu wakanzaa kuoneana wivu, mfano klorokwini anaumia pindi anapogundua Finest nae anamtafuta Preta?
Najaribu kufikiria vurugu za kwene mahusiano zinapotokea kwa sababu uwezekano huo nadhani upo ni nani atahusika au
Invisible? na BAN.
Au LD anapogundua Michelle nae anamtafuta Hashcool, hivi hii imekaa je?
Maxces atakuwa Paroko na Invisible Askofu wa kusuluhisha hii mambo au BAN na INVISIBLE.