klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
member wapya wanajiintroduce kule kwenye jukwaa la introduction, mbona wewe upo hapa?Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!
member wapya wanajiintroduce kule kwenye jukwaa la introduction, mbona wewe upo hapa?
Ngoja nije pm inaweza kuwa bahati yangu hahaaa
ila mkuu akifanya hivyo itasaidia sanaa
Sawa naenda jitambulisha.......:laugh::laugh:
Usijitambulishe mbona uko jamvini siku mingi.........................PHP:Sawa naenda jitambulisha.......:laugh::laugh:
Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!
Hiyo avatar nimeipenda!! big up yourself Preta......:laugh::laugh::laugh:
Hapo ni baada ya kurudi home saa saba tukiwa na nanihii za kutosha kichwani.....hata kitanda hatukiona......halafu asubuhi tukawahi hongera bar kubugia misupu na michapati.
Tehe tehe!
Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!
dah! yaani leo nasoma post zako tu. yaani nilikumiss mpaka nikawa naquote post ya wiselady halaf najisahau namuita Preta. Khaa! mapenzi yanatia ulemavu jamani.mmmh.....ushauri wa bure ndugu yangu......hafai huyu...Da Sophy akitokezea huwa anatimuka kama kisulisuli.....stuka
mnaombwa msitoke ofu topik jamani. mada inazungumzia matchmaker forumBwoiii!!!Kumbe nna kesi huku??Michelle njoo nikubembeleze mama.....Kloro nisikuone kabisa mtaani kwetu...baki huko huko ulikozoea!!!
mmmh.....ushauri wa bure ndugu yangu......hafai huyu...Da Sophy akitokezea huwa anatimuka kama kisulisuli.....stuka
Hapo ni baada ya kurudi home saa saba tukiwa na nanihii za kutosha kichwani.....hata kitanda hatukiona......halafu asubuhi tukawahi hongera bar kubugia misupu na michapati.
Tehe tehe!
mnaombwa msitoke ofu topik jamani. mada inazungumzia matchmaker forum
dah! yaani leo nasoma post zako tu. yaani nilikumiss mpaka nikawa naquote post ya wiselady halaf najisahau namuita Preta. Khaa! mapenzi yanatia ulemavu jamani.
mnaombwa msitoke ofu topik jamani. mada inazungumzia matchmaker forum
hehehe hiyo dasophy usiitaje bana itaharib apetait yangu ya kukoga, heheheh si unaona maneno sasa bana. tupendane kama email na password . hivi nikiuliza ulikuwepo wapi hautokasirika?wewe nimekuzoea......ukishatimuliwa huko na Da Sophy baada ya kufulia....unarudi kwangu....haya....tudumishe mapenzi yetu.....sitakuacha kamwe....lakini tutakuwa tunatengana kwa muda....kulingana na upepo unavyovuma
suala zuri sana hili.Ohhh sorry....sasaaaaa kwenye hii machi meka forum vigezo gani vizingatiwe?