Soko (Suppliers) la nguo za kike Afrika Kusini limekaaje?

Joined
Jun 30, 2015
Posts
17
Reaction score
12
Hello guys,

Mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna anayefahamu haya. Soko la kule likoje?

Na baadhi ya suppliers pia.
 
Labda nikusaidie kukuingiza kwenye group la watu wa uko uulize upate majibu mwenyewe utachuja mwenyewe pumba na mchele.
 
Nguo mpya au mtumba?kama ni za mtumba wahitaji nicheki whatsapp nikutumie kutoka Dubai +971527794329
 
 
Labda nikusaidie kukuingiza kwenye group la watu wa uko uulize upate majibu mwenyewe utachuja mwenyewe pumba na mchele.
Wa south nawaonaga kama wa Nigeria tu. Kama vile matapeli tapeli tu
 
South huku wa Nigeria kila mahali waweza tapeliwa kama ukiamua kuagiza bidhaa ukiwa huko, kizuri tembea nenda huko kutana na supplier then myajenge.. binafsi natafuta supplies wa viatu huku nije niuze bongo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…