Soko (Suppliers) la nguo za kike Afrika Kusini limekaaje?

Soko (Suppliers) la nguo za kike Afrika Kusini limekaaje?

Joined
Jun 30, 2015
Posts
17
Reaction score
12
Hello guys,

Mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna anayefahamu haya. Soko la kule likoje?

Na baadhi ya suppliers pia.
 
Hello guys..mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna anayefahamu haya. Soko la kule likoje? Na baadhi ya suppliers pia.
Labda nikusaidie kukuingiza kwenye group la watu wa uko uulize upate majibu mwenyewe utachuja mwenyewe pumba na mchele.
 
Hello guys,

Mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna anayefahamu haya. Soko la kule likoje?

Na baadhi ya suppliers pia.
Nguo mpya au mtumba?kama ni za mtumba wahitaji nicheki whatsapp nikutumie kutoka Dubai +971527794329
 
Hello guys,

Mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna anayefahamu haya. Soko la kule likoje?

Na baadhi ya suppliers pia.
 
South huku wa Nigeria kila mahali waweza tapeliwa kama ukiamua kuagiza bidhaa ukiwa huko, kizuri tembea nenda huko kutana na supplier then myajenge.. binafsi natafuta supplies wa viatu huku nije niuze bongo..
 
Back
Top Bottom