Mledi haswa
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 161
- 172
Natanguliza shukran za dhati kwa wanajamvi. Ni matumaini yangu wanajamvi wengi wetu mmepitia na kusoma habari za alizeti, kwa yoyote mwenye mchango wa soko la uhakika na bei ya alizeti kuanzia mwezi wa saba hadi mwezi wa 12, mahali ntakapokua nazitoa ni mkoa wa manyara na singida pia ,lakini pia soko la mafuta ya alizeti likoje ? Msaada wenu ni muhimu sana wanajamvi