Sokoine na Kolimba, vifo vyao vilimkera Mwalimu kiasi gani?

Hoja yako haina mashiko na inaelekea umeamka na hangover tena ya mataputapu na kwa kuwa bia zimepanda bei sishangai watu kama wewe kuja na 'hoja mchoko' kama yako kwa siku zijazo!

Ndani ya chadema jambo unalosema haliona uzito wowote, uwezo wako ni finyu sana katika kuleta 'propaganda chonganishi' Zitto ni mwanasiasa aliyekomaa na CHADEMA ni chama makini si kama unavyofikiri, anzisha hoja nyingine na si hii 'hoja maiti' tuliokwisha izika zamani! shame on you!
 
inaonekana chadema unawapenda sana, sasa unasemaje wamemkana sasa? Acha dhambi ya ubaguzi wewe!
 
Mtoa mada huoni aibu?! Hebu pitia post za waliochangia zinavyoonesha na kuthibitisha ujinga na ugonjwa wa akili ulio nao!..... Pole kama umetumwa na ******* basi ujue mwisho wenu umefika........... ***k**k*k**** zako
 
Hiyo hoja iwe imeibuliwa na Zito au Regia lakini wote hao si ni wa cdm kinachokuwasha ni nini?. Uzuri hata wewe unajua kuwa hoja hiyo haikuazimwa toka ccm imetoka ndani ya vichwa vya makamanda tatizo nini.
 
kama zito kasema hivyo ana matatizo taratibu zilivyo katika vikao mjumbe yeyote anaweza kutoa wazo lakini likishakubaliwa na wajumbe wote yanakuwa maamuzi ya kikao sio tena wazo la mjumbe aliyelitoa. je kama kikao kingekataa wazo hilo lingetokea

nina mashaka mtoa mada ni moja ya ******* ya ccm anayetaka kutibua nyonga za watu

tunajua sheria, taratibu na kanuni usitupotezee muda
 
Hiyo hoja iwe imeibuliwa na Zito au Regia lakini wote hao si ni wa cdm kinachokuwasha ni nini?. Uzuri hata wewe unajua kuwa hoja hiyo haikuazimwa toka ccm imetoka ndani ya vichwa vya makamanda tatizo nini.

Mkuu huyu tunamfahamu ni kombara la ccm wanalotarajia kuwa wakilirusha linaweza kusambaratisha Uongozi wa Cdm, nachoweza kumshauri huyu akatae kutumika kwani hata yeye anafahamu na ni aibu kwa msomi kama yeye.
 
Hii kitu imeshazungumzwa sana...ime-expire.
Sielewi lengo la kuirudisha.
Mods please!
 
mzandiki,mnafiki,mmbeya(ila si mnyakyusa) mfitini huna maana ila kwa sababu tumeshakujua hutatusumbua.
 

sekretariati ni watu, watu ni wingi huanza na umoja wake mtu. Rejea mtema ni mtu, anaweza akawa alipenyesha ujumbe kwa mmoja wa sekretariat, naye akafikisha kwa niaba. Kwani bungeni wananchi hatusemi kupitia wabunge wetu?
 
Wapemba wanaumizwa sana na stability ya CDM ukizingatia wao chama chao cha kidini na kimwambao kimeshaolewa na CCM.

Kim Kardash, pole sana. CDM itaendelea kuwepo, ikiwa na nguvu na ari ya kukamata mafisadi wanaokutuma mara itakaposhika dola.
 
Huyu Jamaa, Kim Kaladash ni Wakupimwa akili. Huenda ni Mtoto wa Baba Mwanaasha pia.
 
Unachotaka kuleta hapa ni nini?! hueleweki!! kama ni uchonganishi kwa CDM umeshindwa!! potea haraka sana huna jipya!! Gamba chovu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…