Sokoine university of Agriculture

Sokoine university of Agriculture

Kerpp

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
58
Reaction score
10
Maajabu yatokea katika foleni ya kupata magodoro kwa mwaka wa kwanza, Dada mmoja azimia katika foleni cha kushangaza baada ya kuambiwa achukue godoro ili akapumzike akapata fahamu" daah ni shida tupu ndg wa SUA undergraduate mjipaaaangeeee!
 
kwa hiyo mliweza kuongea na mtu aliyezimia??
 
Kuna jamaa kaenda hotel kula akanunua msosi ila kilichotokea hajala hata kidogo.
 
kwa hiyo mliweza kuongea na mtu aliyezimia??

yule alikua mizinguo kwasababu wenzie waliambiwa wambebe kisha apelekwe hospital cha kushangaza baada ya kufka get la mazimbu hospital akashtuka' eti nyie npen tu godoro niende kupumzika room kwangu!
 
Bora sasa hivi watu wamepungua sana hata foleni hamna ila ilikua disaster

poleni bandugu, msalimieni yule maza kauzu wa unit 2 cafeteria...! vumilieni coz tulipitia matatizo hayo hayo bt 4 now ni bata tuuu
 
nakushauri chief kaishi unit 3, pale kuna mapera ya kutosha wakat wa bumu likikata unaenjoy mapera bureee! nyc msuli.

teh teh teh, ahsante ndg ila 2po karbu na hyo unit3"
 
poleni bandugu, msalimieni yule maza kauzu wa unit 2 cafeteria...! vumilieni coz tulipitia matatizo hayo hayo bt 4 now ni bata tuuu

kwel ndg yule mum anajidai kauzu kwanza chakula hakiiv halaf bei kubwa' ngoja vbak akale na familia yake' kitu unit3&4 cafteria!
 
Back
Top Bottom