na wanaume wanapatikana wapi? :nono:
dukani mamito...
Duka gani? Abercrombie and Fitch?
dukani mamito...
na wanaume wanapatikana wapi? :nono:
<br />Dah, hii ndo JF bwana! Haya chagua mmja unyanyuke nae. Kilio badae hatutaki!
<br />Kazi ya sokoni .................nenda sokoni!!!!!!!!!
<br />
<br />
Chauro wanawake wamekuwa bidhaa!namsubiri aniambie kama na wanaume wanapatikana huko lol!
na wanaume wanapatikana wapi? :nono:
soko gani arusha? kilombero, soko kuu, mbauda, soko mjingaa, tengeru, oldonyo, kerai, kisongo, sokoni one, engara emotonyi.....
Wambulu hao
Soko kuu mkuu, usiende tengeru, oldonyo, kisongo, engara emotonyi, mbauda utakutana na akina mama yeyoo na mitandio yao hawana dili, ukishindwa sana nenda kilombero......halafu mbaya zaidi hata akina mama/wanawake wanaokuja nunua vitu sokoni nao wanakuwa sio mbaya sana mashallah! sijui kwanini lakini...but why?!!
Kweli...??Wambulu hao