Sokoni Leo,App ya Kiswahili ya Android Phone/Tablet itakayokufahamisha bei ya bidhaa Kariakoo

Sokoni Leo,App ya Kiswahili ya Android Phone/Tablet itakayokufahamisha bei ya bidhaa Kariakoo

Rlukaku

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
100
Reaction score
20
Sokoni Leo ni App iliyotengenezwa kwa ajili ya simu za Android, maalum kwa kutoa taarifa muhimu kuhusu mazao yanayopatikana sokoni. Utaweza kujua bei ya mazao mbalimbali yaliyopo sokoni rejareja au jumla.

Hii itakurahisishia wewe mteja au hata mkulima kujua bei ya mazao ilivyo sokoni. Kwa sasa ni soko la kariakoo tu ndilo lililounganishwa hata hivyo tunatarajia kuongeza masoko zaidi baadae. Bei za mazao yanayoonekana katika program hii ni bei halisi kama zinavyoonekana kwenye tovuti ya Soko la Kariakoo (
http://www.kariakoo.or.tz/sw/).

Hata hivyo program hii haihusiani kwa namna yeyote na soko la Kariakoo. Inapatikana Google Play Store (https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ewebtz.sokonileo)

s_1.png s_3.png s_2.png

Cheers..
 

Attachments

  • s_5.png
    s_5.png
    19.6 KB · Views: 182
Back
Top Bottom