Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

Maka99

Member
Joined
Aug 9, 2024
Posts
7
Reaction score
6
Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara.

Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako.

Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy.

Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product "

Ili kupata uongozi sokoni (market leadership), lazima kuwa na bidhaa zenye ubora mkubwa

Ili kuifanya bidhaa yako, kama sehemu ya mbinu zako za kibiashara (strategies)

Kuna vitu vingi sana vya kuvitazama, lakini leo nimekupa hapa vitu vitatu.

Ambavyo ni designing, packaging na labeling

Hivi vitu vitatu usipiviangalia vizuri, biashara yako itakuwa miongoni mwa biashara zinazopuuzwa sana sokoni.

Kwa nini? Kwa sababu vitu hivyo vitatu ndio hubeba ile hisia ambayo mteja anakuwa nayo anapofanya maamuzi ya kununua.

Biashara nyingi za wajasiriamali, utakuta haina taarifa muhimu, kiasi kwamba mteja anaona ananunu sumu😂😂

Niambie kwenye comment, unayazingatia kwa kiasi gani hayo mambo matatu kwenye biashara yako?

#letstalkbusiness #salestips #digitalmarketing #service
 

Attachments

  • E7FBE350-5623-4AA7-BE91-95E303C22624.jpeg
    E7FBE350-5623-4AA7-BE91-95E303C22624.jpeg
    17.8 KB · Views: 13
  • 662062F6-C45F-4D32-9105-A6DEBFEF97F3.jpeg
    662062F6-C45F-4D32-9105-A6DEBFEF97F3.jpeg
    42.8 KB · Views: 14
  • DDE4E58F-16F8-4F81-B88D-A2BD17D4780D.jpeg
    DDE4E58F-16F8-4F81-B88D-A2BD17D4780D.jpeg
    24.8 KB · Views: 13
Elon J ni kweli kabisa uniqueness au upekee wa bidhaa unahusika sana pia. Maka99 shukurani kwa bandiko.
kuna maji yanaitwa Dew drop ya huko Katavi kama sijakosea aisee package yake imesimama ni amazing na ya kipekee kinyama.
 
Back
Top Bottom