Solar Power

Solar Power

Status
Not open for further replies.
Ok Asante sana ndugu. Kwahiyo bira tv ni mln 1.2Tsh mtandao mdogo, nikifanya mara 10 ule mtandao mkubwa wa watts 1000 inaweza kua mln. 12TZs. Sio mbaya kwa miaka 25.

Nilipewa quotation ya package iliyokuwa hivi
Kama unataka kutumia say taa 20, tv, microwave, hifi system, na kuchaji simu ina cost 4.5m na ukiongeza min fridge pesa inafika 6.5m, hapo baadhi ya vitu unaweza kutumia 24 hrs, jamaa wakikufungia wanakupa guarantee ya mwaka mmoja ya service bure, na hizo pannel na betri zinakuwa na guarantee ya 24yrs

Kwa mwenye interest ani PM tuwekane sawa kwenye shida
 
Si sawa kwani sijaona pannel ya watts 1,000. Kwa mahesabu ya haraka haraka utatakiwa pannel mbili za 110 watts na bettries 2 za 200Ah. Kwa kujua gharama na kila kitu kama charge regulator n.k waweza piga simu Zara Solar 0784299500 hawa wanauza vitu vyao vya jinioni na kwa bei nafuu.
hiki kiswahili cha jinioni (=genuine) kimeniacha hoi.Ila Bamukunda unatisha!
 
Last edited by a moderator:
Sharing is good thing, nimejifunza mengi kuhusu uzi huu shukurani za pekee zimwendee mwandishi na wachangiaji ambao ndio wameongeza ladha katika thread hii.
 
Wamenijibu wale wa ensol tz wameniambia nahitaji panel za 135w nne, betri 4 za 200Ah, inverter, kuunganisha na hadi malipo ya mafundi itakua mln 10 na laki 3 Tzs. Hii iko sawa kwa taa 14 (6 inje zinawaka usiku mzima, 8ndani masaa 4/5) tv moja, deconder, pasi. Walipiga hesabu average ya matumizi ilikua watts 2100 kwa siku.
 
Hii ratio hapo kwa red naikubali, ndo maana nilikuwa na mashaka na yule fundi aliyekushauri mwanzo
 
Si sawa kwani sijaona pannel ya watts 1,000. Kwa mahesabu ya haraka haraka utatakiwa pannel mbili za 110 watts na bettries 2 za 200Ah. Kwa kujua gharama na kila kitu kama charge regulator n.k waweza piga simu Zara Solar 0784299500 hawa wanauza vitu vyao vya jinioni na kwa bei nafuu.
Sio panel ya watts 1000 ni panels ambazo ukionganisha inakupa nguvu ya watts 1000 (1kW/h). Alisema kua nguvu nayohitaji ni kutoka 500w/h mpaka 1000w/h. Kiswahili changu sio vizuri sana lakini najitahidi kuongea kiswahili namna tunaelewana wote kuliko kuongea lugha ambayo tunaelewana 3/4.
 
Hii ratio hapo kwa red naikubali, ndo maana nilikuwa na mashaka na yule fundi aliyekushauri mwanzo

Labda fundi alikosea au mimi nimekosea kueleza vizuri, kiswahili changu sio vizuri sana hahah. Shida unawaandikia kampunni hawakujibu na wanakufanya unaangaika kuwatafuta kama wanafanya kazi bure, kumbe unawalipa.
 
Kuna Pannel za kutoka China na USA na Ujerumani. Ni vyema ukawa na uhakika usije uziwa mbuzi katika gunia
 
Hii ratio hapo kwa red naikubali, ndo maana nilikuwa na mashaka na yule fundi aliyekushauri mwanzo

Hata mie naona hapo itakua sawia,though 1kw si mchezo!!!Kuna jamaa yangu alifunga panel 4 za 100W each,kipindi cha kiangazi wakati jua linakuwepo la kutosha!!ilibidi a dis'engage panel mbili,umeme ulikua mwingi sana,kiasi kwamba battery charging inakua complete in a very short period.Although nimesikia kuna charger controller ambazo zinaweza kutumia excess charge ili battery zisipate madhara.Sijui lakini mwenye experience zaidi anaweza kuweka mezani....
 
Nenda ukawaone physically watakupa quotation hapo hapo. Usomaji wa email hapa kwetu watu bado kabisa. Kwanza unafikiri ofisi zote zina mtandao? Hata modem na laptop si watu wengi wanazo. Nenda watakupa bei ila kwa kukisia ni kama kuanzia milioni 2 mtambo mzima wa watts 100 ila huo wa 1000 jiandae mahela mengi sana.
Habari zenu wote,
Naombeni msaada wenu mara moja. Nilitaka kununua solar panel ya nguvu ya watts 100 na nyingine yenye nguvu ya watts 1000 (kW 1) ya kuweka kwenye nyumba. Kwahiyo nilitaka kujua inaweza kua gharama gani ile ya watts 100 na gharama gani kuweka ile yenye nguvu ya watts 1000w? Sababu nimewatumia email kampuni zote kubwa kama rex, helvetic, ensol etc na hawajanijibu so kama kuna mtu anajua bei zao naomba msaada wenu.
Nawashukuru tayari sasa kwa msaada wenu.
 
Nimeona hata mimi wamejibu 2 katika email nane nilizotuma, kweli inabidi naenda kwenye ofisi zao. Nataka kujua offer at least za kampuni 5/6 namna hii kumchagua yule mwenye offer nzuri.
 
Nimeona hata mimi wamejibu 2 katika email nane nilizotuma, kweli inabidi naenda kwenye ofisi zao. Nataka kujua offer at least za kampuni 5/6 namna hii kumchagua yule mwenye offer nzuri.
Mkuu Tanzania usijaribu kufanya Inquiry kwa email kwenye kampuni yoyote ile ni ngumu kujibiwa
 
Habari zenu wote,
Naombeni msaada wenu mara moja. Nilitaka kununua solar panel ya nguvu ya watts 100 na nyingine yenye nguvu ya watts 1000 (kW 1) ya kuweka kwenye nyumba. Kwahiyo nilitaka kujua inaweza kua gharama gani ile ya watts 100 na gharama gani kuweka ile yenye nguvu ya watts 1000w? Sababu nimewatumia email kampuni zote kubwa kama rex, helvetic, ensol etc na hawajanijibu so kama kuna mtu anajua bei zao naomba msaada wenu.
Nawashukuru tayari sasa kwa msaada wenu.

Wasiliana na huyu: Hamisi.Kashushu@puma-energy.com , yuko Puma zamani BP. wanauza solar panels. na watakupa ushauri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom