HYDROVENTURE
Member
- Nov 3, 2021
- 17
- 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisima chako kina urefu gani na unahitaji kiasi gani cha maji kwa muda gani? Pia kama una tank lina ujazo gani?
Hatari😳😳😳Duh!
wasiliana
Kisima changu kina mita 60, na kuna tank la lita 5,000 nina solar panel 3 za watts 180 @, je naweza kupata pump ya bei gani?Kisima chako kina urefu gani na unahitaji kiasi gani cha maji kwa muda gani? Pia kama una tank lina ujazo gani?
Kwa maelezo zaidi tunaweza wasiliana kupitia namba hizi +255686570264, +255762726524
info@hydroventure.co.tz
Karibu Sana
Kuna vitu vingi vya kuangalia Brother ili kuweza kujua hiyo pump ni ya ukubwa gani ndio maana nimeomba kuwasiliana zaidi,issue si bei tunaangalia zaidi technical factorsSijui kwanini unakwepa kuweka bei. Umeshapewa specs si umwambie bei tu, aje inbox kwanini sasa
Unahitaji pump ambayo ni submersible(Visima virefu) au Surface pump?1 H.P solar pump naweza pata?
Kwa surface pump unapata kwa bei ya 450,000/=Unahitaji pump ambayo ni submersible(Visima virefu) au Surface pump?
450,000/= ambayo ni surface pump1 H.P solar pump naweza pata?
Ukisha msikia mtu anakwambia solar ujue hapo lazima kuwe na hifadhi ya umeme wa jua unao vunwa, (storage), ya hiyo solar energy ambayo ni betri kwa maana usiku hakuna jua, kifaa kinacho hifadhi umeme wa jua ni betri 🔋, kinacho chaji betri ni hicho kama kioo kiswahili chake sijakifutatilia, (solar panel)
Hapo ni Dar au Mwanza? Geita napataje inayoweza kuusukuma maji mita 400?Kisima chako kina urefu gani na unahitaji kiasi gani cha maji kwa muda gani? Pia kama una tank lina ujazo gani?
Kwa maelezo zaidi tunaweza wasiliana kupitia namba hizi +255686570264, +255762726524
info@hydroventure.co.tz
Karibu Sana