Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Labda kama Umepandisha Uzi Huo Kwa Nia mbayaKuna vitu vingi vya kuangalia Brother ili kuweza kujua hiyo pump ni ya ukubwa gani ndio maana nimeomba kuwasiliana zaidi,issue si bei tunaangalia zaidi technical factors