SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
Kwani shida ni nini?

Si kampuni imeamua kukuza mauzo yake na kutanua wigo wa wateja wake kwa kuwashawishi kununua kinywaji chao ili wapate nafasi ya kushinda free ticket?

Kampuni nina uhakika haijapewa bure. Bali wamenunua. Sasa unawapangia namna za kugawa?

Mbona uto uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kiasi hicho? Ina maana akili zenu zimefungwa huku nyuma pametanuliwa na mwiko?

Pathetic!.
 
Wewe ni mjinga tuu, unashindwa kutafakari mambo madogo, hiyo bar kuuza ticket maana yake wamezinunua.
na kasahau ni kujipatia nafasi ya kushinda si kupata tiketi vyura wako nyuma sana kwenye lugha ya biashara
 
Wewe ni mjinga tuu, unashindwa kutafakari mambo madogo, hiyo bar kuuza ticket maana yake wamezinunua.
Kwa hiyo bia umepewa bure kwa kuwa kiwanda na Ngungus Boy? Kweli wewe mbumbumbu
 

Attachments

  • FB_IMG_17219444798440203.jpg
    96.3 KB · Views: 3
Wewe ni mjinga tuu, unashindwa kutafakari mambo madogo, hiyo bar kuuza ticket maana yake wamezinunua.
Kwa hiyo ticket zimenunuliwa kwa mkupuo nyingi na watu wachache then wanaanza kuzigawa mitaani?
 
Yeah na ninafikiri game itaangaliwa hapo bar.
Kwa hiyo unapewa ticket halafu Moira unaangalia kwenye TV? Hivi hizi akili wana5imba mmerithi wapi?
 

Attachments

  • FB_IMG_17219444798440203.jpg
    96.3 KB · Views: 3
Zawadi ya tiketi ipo kwenye vizibo,,,kama wanavyofanyaga kwenye soda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…