Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Umekurupuka sana aisee, haoo Plisner ni Wadhamini na hio ni aina moja wapo ya kupromote Kinywaji, Ina maana kule Jangwani Supu nayo ipo kwenye jezi ???Kwa hiyo unapewa ticket halafu Moira unaangalia kwenye TV? Hivi hizi akili wana5imba mmerithi wapi?