SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

Kwa hiyo unapewa ticket halafu Moira unaangalia kwenye TV? Hivi hizi akili wana5imba mmerithi wapi?
Umekurupuka sana aisee, haoo Plisner ni Wadhamini na hio ni aina moja wapo ya kupromote Kinywaji, Ina maana kule Jangwani Supu nayo ipo kwenye jezi ???
 
Kwa hiyo Yanga wao huwa hawauzi ticket zaidi ya moja kwa mtu mmoja au ticket zikiisha kwa kununuliwa kwa mkupuo haiitwi sold out?

SSC wanachohesabu ni wameuza tickets zote hayo mengine kwao hayawahusu.
 
Wewe ni mjinga tuu, unashindwa kutafakari mambo madogo, hiyo bar kuuza ticket maana yake wamezinunua.
Kwaiyo mashabiki kama mashabiki bado hawajajaza uwanja isipokua tiketi zimeisha kwa sababu kuna ambao wamezinunua nyingi ili wakafanyie ofa biashara zao, yaani simba day ikiwa ingekua leo uwanja usingejaa kwa sababu bado tiketi nyingi zipo mikononi mwa hao wachache waliozinunua hili wakafanyie promosheni biashara zao au sio? Kwaiyo mpaka sasa mashabiki wa timu zote wameshindwa kujaza uwanja isipokua tiketi za simba zimeisha kwa sababu kuna hao ambao wananunua in bulk wakafanyie promosheni tofauti na upande wa yanga ambapo tiketi zinanunuliwa na shabiki mmoja mmoja au sio?
 
Pia hao jamaa wana mkataba na Simba. Mtoa mada kakurupuka na Mbumbumbu wenzie wanaunga mkono tu.
 
Mbona unajieleza sana
 
Hii tafsiri yake ni kuwa Simba kuna ma Don...wanahelaa wananunua kwa bulk..then wana simba wengine wenye fwedhaa wananunua kwa hela kubwa tena....hii ni nguvu ya mnyamaa yani ubayaaa ni ubwelaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…