Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ni hapahapa leoleo na Sasa Sasa. Watanzania tunajuana wote, tunaishi mitaa ileile, vijiwe vilevile nyumba zilezile na kazi tunazofanya ni zilezile sote. Unaposema ticket zote sold out siku tatu kabla unamdanganya nani?Njia ya muongo ni fupi
N-card Wana uzoefu, wenye uwanja pia Wana uzoefu na uwanja wao hawawezi kukata tiketi zaidi ya uwanja. Kilichofanyika mo alihakikisha kuwa uwanja unajaa kwa gharama yoyote Ile kwakuwa mgeni rasmi alikuwa mtu mzito sana.SIMPLE SANA.
N-CARD IPO CHINI ya SELIKALI.
Kilochofanyika.
Uwanja unachukua watazamaji
60,000/=
Uwanja inachukua mashabiki
Zingatia Neno mashabiki.
57,000/=
Tiketi zilizokatwa ni Elfu sitini
60,000/=
Watazamaji 3000 waliingiza
WAANDISHI.
MAAFISA.
VIONGOZI WA MPIRA.
Wachezaji wastaafu.
POLISI.
ZIMA MOTO
SCAUT
Hiduma ya kwanza nk nk nk.
Maana yake WATU karibu 3000 hawakuingia.
N-CARD IPO CHINI YA SELIKALI.
WEZI.
Uwanja ulifurika haukufurika?Waliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
Mbona yanga ilikuwa bure kabisa AKA fungulia mbwa na Bado hamkujaza hata nusu ya uwanja?Waliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
Vyura hadi leo mnaugulia maumivu ya kibegi lazima mpate sonona mwaka huuWaliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
Na kwenye mechi zingine,hasa za kimataifa,tiketi huwa unazinunua wewe?Pambaneni na ulofa wenu!😂😂🐸🐸🐸🐸🐸Malipo ni hapahapa leoleo na Sasa Sasa. Watanzania tunajuana wote, tunaishi mitaa ileile, vijiwe vilevile nyumba zilezile na kazi tunazofanya ni zilezile sote. Unaposema ticket zote sold out siku tatu kabla unamdanganya nani?