Sold out ya tickets na kujaza uwanja ni vitu viwili tofauti

Sold out ya tickets na kujaza uwanja ni vitu viwili tofauti

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Niwakumbushe wana-Simba, mwaka jana ktk tamasha la Simba day kulitangazwa Sold out lkn uwanja ukawa na mapengo mengi. Sijui nn kipo nyuma ya hizi soldouts. Nashauri Hamasa iendelee
 
Kuna kuumwa na kupata udhuru wa ghafla. Usitegemee watu 60,000 wote waweze kutimiza miadi 100% wakati ukipanga jambo na watu wawili tu mmoja lazima azingue. Pia nadhani kuna wakati haziuzwi zote 60,000 kama ilivyokuwa kwenye uzinduzi wa AFL. Yote kwa yote hata kujaza 50,000 ni mafanikio makubwa sana kwa mpira wa Afrika.
 
Niwakumbushe wana-Simba, mwaka jana ktk tamasha la Simba day kulitangazwa Sold out lkn uwanja ukawa na mapengo mengi. Sijui nn kipo nyuma ya hizi soldouts. Nashauri Hamasa iendelee
Uza kwanza tiketi uzimalize ndipo uje na hizo ngonjera.
 
Mi nilipoona ticket zinakaribia kuisha, nikanunua pia na nipo Moro, bado sina uhakika kama nitaenda uwanjani, nimenunua tu ili ikitokea jmos niko free natokea.
 
Back
Top Bottom