Sita Sita
JF-Expert Member
- Aug 25, 2008
- 1,397
- 520
Leo nimeamkia Youtube nikajikuta nimetua kwenye huu wimbo wa vichwa vitatu vya ukweli: Solo Thang, Jay Mo na Soggy Doggy (Simu Yangu)
Ingawa wimbo unakaribia kufikisha miaka 10 lakini bado naona kama unahusika na mazingira ya sasa.
Ingependeza jamaa wakatokeza na Simu Yangu Part II maana masuala ya tecknolojia yamebadilika na changamoto za simu zimeongezeka.
Verse 1
Ni buzz 2 double 7 six nine zero .... wananiita Solo thang aka "Non Reachable"