JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Mara nyingi gari ikiibiwa masega,
1. Itawasha check engine
2. Inaweza kukosa nguvu.
3. Inaweza kumisfire(misi).
4. Itatumia mafuta vibaya sana.
Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza kukutana nazo iwapo gari itaibiwa masega. Au masega ya gari yako yatakuwa yamechoka.
Shida kubwa hapo ni kwenye ulaji wa mafuta na hii ndio inawakaanga wengi.
Niliwahi kuandika uzi unaohusu masega unaweza kuupitia haraka haraka.
Thread 'Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)' Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)
Hapa ninacho kifaa ambacho kama una tatizo lolote na masega yako, whether
1. Yameibiwa
2. Yamechoka
3. Unapata DTC's p0420 au p0430 ukifanya diagnosis.
Kifaa hicho kitaifanya gari yako irudi kama zamani. Yaani kama vile imefungwa masega mapya.
Ulaji wa mafuta itarudi kawaida na utalifurahia gari lako.
Kitu cha muhimu, gari yako inatakiwa iwe na Oxygen sensor baada ya masega.
Kwa gharama ndogo tu ya Tsh. 150,000/=
Nipigie 0621 221 606
Nipo Dar es salaam.