Mganga wa mondi ni noma
Sawa mke wa alikiba Amina wa mombasaKifesi nakuona
FactDiamond ni shiiiiiiiida.
Aliyeanzisha Wasafi ni Kusaga. Huyo baba Tiffah ana hisa tu.Haters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!!
Huyu Mondi anachagizwa na chuki (hate) kwenye mafanikio yake sababu anafanya kazi ya ziada kuwapiga mabao haters na kuwa prove wrong. Na mafanikio yake yanaendelea kumkuza!!!
Haters walifanya Mondi anunue nyumba south africa - alipodhalilishwa na Rich Gang ya kina Ivan Don!!Haters walimfanya aanzishe Wasafi Media na Wasafi festival!! Haters wamemfanya ateke soko jipya na kupiga aina tofauti ya mziki baada ya kuambiwa hawezi, mjanja mjanja, anabebwa, ananunua viewers nk!!!
Tukiendelea kum hate atafanya Wasafi the biggest swahili entertainment media on earth!!! Ataanzisha Wasafi Fest-Global aungane na wanigeria kwenye tours huko mbele - akiacha Wasafi Fest - Local chini ya Vannyboy nk ishindane na fiesta!! Anaweza hata kumnunulia nyumba Tanasha Kenya na kumuacha, halafu azae na mzungu na kununua nyumba Paris au US!!! Kwa kifupi haters tutafeli na atazidi kutuumiza!!!
Solution: Tumsifie tu saana ili ajisahau kujituma... Na tumpe jina la "Lejendari - king mfalme lion simba babalao"!!
Bongo kuna ma-lejendari wengi tu local....!!!
Aliyeanzisha Wasafi ni Kusaga. Huyo baba Tiffah ana hisa tu.
Na wasiwasi na wewe utakuwa ni mke wa kusagaAliyeanzisha Wasafi ni Kusaga. Huyo baba Tiffah ana hisa tu.
wabongo buana kula kitu mnajua si ndio
nyie mashabiki maandazi mpaka mje kujua hizi ni biashara, tz itakuwa nchi ya uchumi wa juu wa viwanda.Na wasiwasi na wewe utakuwa ni mke wa kusaga
Kusaga anakupaga mambo matumatu mpaka amekukaa kwenye akili.nyie mashabiki maandazi mpaka mje kujua hizi ni biashara, tz itakuwa nchi ya uchumi wa juu wa viwanda.
Mwambie rafiki yako anunue au ajenge nyumba yake ya kukaa sio kupanga,maana madale yuko bi sandraHaters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!!
Huyu Mondi anachagizwa na chuki (hate) kwenye mafanikio yake sababu anafanya kazi ya ziada kuwapiga mabao haters na kuwa prove wrong. Na mafanikio yake yanaendelea kumkuza!!!
Haters walifanya Mondi anunue nyumba south africa - alipodhalilishwa na Rich Gang ya kina Ivan Don!!Haters walimfanya aanzishe Wasafi Media na Wasafi festival!! Haters wamemfanya ateke soko jipya na kupiga aina tofauti ya mziki baada ya kuambiwa hawezi, mjanja mjanja, anabebwa, ananunua viewers nk!!!
Tukiendelea kum hate atafanya Wasafi the biggest swahili entertainment media on earth!!! Ataanzisha Wasafi Fest-Global aungane na wanigeria kwenye tours huko mbele - akiacha Wasafi Fest - Local chini ya Vannyboy nk ishindane na fiesta!! Anaweza hata kumnunulia nyumba Tanasha Kenya na kumuacha, halafu azae na mzungu na kununua nyumba Paris au US!!! Kwa kifupi haters tutafeli na atazidi kutuumiza!!!
Solution: Tumsifie tu saana ili ajisahau kujituma... Na tumpe jina la "Lejendari - king mfalme lion simba babalao"!!
Bongo kuna ma-lejendari wengi tu local....!!!
nyie mashabiki maandazi mpaka mje kujua hizi ni biashara, tz itakuwa nchi ya uchumi wa juu wa viwanda.
Hangaika na maisha yako. Hayo unayotuambia hayatusaidii lolote. We endelea kulamba miguu ya mwanaume mwenzio bwege wewe.Haters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!!