Solution ya kumuua Mondi kama artist!!!!

Haters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!!

Huyu Mondi anachagizwa na chuki (hate) kwenye mafanikio yake sababu anafanya kazi ya ziada kuwapiga mabao haters na kuwa prove wrong. Na mafanikio yake yanaendelea kumkuza!!!

Haters walifanya Mondi anunue nyumba south africa - alipodhalilishwa na Rich Gang ya kina Ivan Don!!Haters walimfanya aanzishe Wasafi Media na Wasafi festival!! Haters wamemfanya ateke soko jipya na kupiga aina tofauti ya mziki baada ya kuambiwa hawezi, mjanja mjanja, anabebwa, ananunua viewers nk!!!

Tukiendelea kum hate atafanya Wasafi the biggest swahili entertainment media on earth!!! Ataanzisha Wasafi Fest-Global aungane na wanigeria kwenye tours huko mbele - akiacha Wasafi Fest - Local chini ya Vannyboy nk ishindane na fiesta!! Anaweza hata kumnunulia nyumba Tanasha Kenya na kumuacha, halafu azae na mzungu na kununua nyumba Paris au US!!! Kwa kifupi haters tutafeli na atazidi kutuumiza!!!

Solution: Tumsifie tu saana ili ajisahau kujituma... Na tumpe jina la "Lejendari - king mfalme lion simba babalao"!!
Bongo kuna ma-lejendari wengi tu local....!!!
Aliyeanzisha Wasafi ni Kusaga. Huyo baba Tiffah ana hisa tu.
 
Mwambie rafiki yako anunue au ajenge nyumba yake ya kukaa sio kupanga,maana madale yuko bi sandra
 
sawa we shabiki kitumbua tena kile kilicho tuna tuna na mafuta meeeengi kama kiPussya
nyie mashabiki maandazi mpaka mje kujua hizi ni biashara, tz itakuwa nchi ya uchumi wa juu wa viwanda.
 
Mbona unamsemea maadui zake as if umetumwa kumsea? Sijawahi msikia Dai akisema ana Maadui ila nyinyi wa lamba nyao na waneba vitaulo vyake vya jasho mnachonga sanaaaa.
 
Haters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!!

Huyu Mondi anachagizwa na chuki (hate) kwenye mafanikio yake sababu anafanya kazi ya ziada kuwapiga mabao haters na kuwa prove wrong. Na mafanikio yake yanaendelea kumkuza!!!

Haters walifanya Mondi anunue nyumba south africa - alipodhalilishwa na Rich Gang ya kina Ivan Don!!Haters walimfanya aanzishe Wasafi Media na Wasafi festival!! Haters wamemfanya ateke soko jipya na kupiga aina tofauti ya mziki baada ya kuambiwa hawezi, mjanja mjanja, anabebwa, ananunua viewers nk!!!

Tukiendelea kum hate atafanya Wasafi the biggest swahili entertainment media on earth!!! Ataanzisha Wasafi Fest-Global aungane na wanigeria kwenye tours huko mbele - akiacha Wasafi Fest - Local chini ya Vannyboy nk ishindane na fiesta!! Anaweza hata kumnunulia nyumba Tanasha Kenya na kumuacha, halafu azae na mzungu na kununua nyumba Paris au US!!! Kwa kifupi haters tutafeli na atazidi kutuumiza!!!

Solution: Tumsifie tu saana ili ajisahau kujituma... Na tumpe jina la "Lejendari - king mfalme lion simba babalao"!!
Bongo kuna ma-lejendari wengi tu local....!!!
Hangaika na maisha yako. Hayo unayotuambia hayatusaidii lolote. We endelea kulamba miguu ya mwanaume mwenzio bwege wewe.
 
Back
Top Bottom