brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
#nashukuru sana kaka. Nimeelewa.3/2 is one of the roots of the equation, that means x = 3/2 is one of the solution of the equation..
Substitute iyo " x = 3/2 " kwenye hio equation , then utapata value ya ' b '
Malizia apo dogo sina kalamu apa
Kuna uzi flan Walim,Wanafunzi na Wajuvi mbalimbali wanasolve maswali ya kila aina kwa level zote na Masomo yote na Notes wanatoa, Ka unaujua utafute huku utachelewa sana.
Nini hiki mbona kina alama za ajabu sana
#sijakuelewa??Nini hiki mbona kina alama za ajabu sana