Soma halafu utoe mchango wako

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Jamani kuna jirani yangu ambae twafahamiana for almost three years. Kaolewa na mume wake anasoma Mkoani, so week ends anarudi home then anaenda shule. Mkewe is working in one of the big hotels in the city. Wana katoto kamoja kavulana, nadhani STD4.

As you know kazi za hotel mara nyingine anaenda night shifts. Last week her husband came from shule then at the mid night kelele zikaanza, mume akataka kumchoma mke na kisu. I was angry at him nikidhani mume analeta tatizo. Niliposimuliwa ndo nilichoka. The story is like this.

Mke alienda kuoga then simu yake ikawa inaita, mume akaicheki akaona namba haina jina. Aliprudi akamwambia simu yako ilikuwa inaita, who was calling?Mke akacheki na kusema alikuwa dada. Mume akauliza dada yupi ambae huja save no. yake/Mke aka mbelembela bila jibu la maana. Mume akahisi something s wrong. Akachukua simu akaitafuta namba hadi akaipata,akapiga kwa namba ile ile ya wife wake na akapokea mwanaume akidai huo dada ni mkewe. Katika conversations huyo jamaa akamwambia kama unabisha njoo kwangu Sinza nikuoneshe kuwa huyo ni mke wangu (mwenye mume yuko Makongo). Jamaa akaenda hadi Sinza, ile anaingia ndani analuta picha za mkewe sebuleni kwa jamaa.

Stori zikaanza, mtu na mume mwenzie, jamaa wa sinza akasema yule dada alimwambia hajaolewa, hana mtoto ila anaishi na ndugu zake, na ana mtoto wa dadake ambae alishafariki so anamlea yeye (akimaanisha yule mtoto wake). Siku nyingi amekuwa akimuomba waishi wote, ila ye alikataa kuwa anaishi na ndugu zake na analea mtoto wa marehemu dadake. Jamaa anadai kuwa ye anailea familia ya huyo dada fully kuanzia chakula, kodi ya nyumba na mazagazaga yote.

Yule mume alishba!Karudi mida ya saa saba usiku ndo akataka kumchinja yule dada. Alilia sana yule kaka, to be honest nilimuonea huruma sana. Yule mdada kwa kweli AMENIKERA SANA! Yule mume keshaondoka na alimwambia mke asimtafute popote. Sasa bibie ananiomba ushauri, hebu nisaidieni nimshaurije?

Nikimwambia ajiue si ntauwa nimemsaidia?
 
oooops kweli tunaweza .... maana kuna wenzetu wamepinda kisawasawa....huyo dada mwambie tu aanze maisha mapya, na mumewe haitakuwa the same tena
 
Hapo ajue ndoa na mumewe imeisha
Si busara kushauri watu kuaxchana ila katika mazingira kama hayo hakuna ndoa hapo
Unafikia kudanganya mpaka mtoto wako sio wako ni wa dada yako aliyefariki
Na unalipiwa kodi na mwanaume mwingine wakati una mume
hapo hakuna ndoa tena aanze maisha mapya tuu na kwa kuwa ameshalikoroga kote alikodanganya hana mume wala mtoto sijui kama atakubalika tena na kwa mume nako ameshalikoroga
 
Duh huyu dada Ninja! yani anaendesha gari mbili wakati mmoja.sasa keshalikoroga kote kote, mwambia alipokua anafanya hayo lazima atakua anajibu lakutoa iwapo itajulikana sasa wakati umesha fika alitoe jibu kama lilikua mvugu wa kitanda ainame.... duh hayo mambo wanafanya wanaume sio wanawake...
 
Aaaaaaaghy ndio maana siku nyingne huwa siwafikiriii kabisa kama nao wapo......angemchinja tu kieleweke
 
huyo jamaa ni mpole sana kwanini hakumaliza kazi fasta au hajawahi kuandamana?Nalog off
 
Aaaaaaaghy ndio maana siku nyingne huwa siwafikiriii kabisa kama nao wapo......angemchinja tu kieleweke
jamaa muoga hana mpango wala nini na wewe uliyekwenda baada ya kusikiliza stori kwanini usimsaidie jamaa amalize kazi?Nalog off
 
mshahara wa dhambi ni mauti, sasa cjui atakuwa mgeni wa nani maana lazima majaa wote watamuacha,
 
Kiufupi jamaa ana busara kupita kawaida! Kwa huyo mwanadada mtaalam wa kupanga mipango mshauri atafute ***** mwingine amseti, aanze maisha mapya ila ajifunze ukweli kwa sbb uongo haulipi cku zote! Ni mambo ya kawaida tu hayo
 
Daah! Huyo mwanamke ana bahati. Mungu hajampenda zaidi. Mwambie ajichagulie hukumu.
 
kiufupi jamaa ana busara kupita kawaida! Kwa huyo mwanadada mtaalam wa kupanga mipango mshauri atafute ***** mwingine amseti, aanze maisha mapya ila ajifunze ukweli kwa sbb uongo haulipi cku zote! Ni mambo ya kawaida tu hayo

aliepiga simu ndo jasiri zaidi..
Tena jasiri kwa kumkaribisha 'mwenzie'
nyumbani kwake
hatari sanaa....
 
Huyo mwanamke ni Mafia haswaa! Mwambie afanye maamuzi mwenyewe. Hakuna chakushauri hapo!
 
Huyo dada ajiandae kwa kukosa yote. Mume kapotea, mshafa nae kisha jua kuwa anadanganywa lazima aingie mitini kutafuta kitu kipya
 
ila angekua mwanamme ndo kacheat ivyo mwanamke angebembelezwa weee na nyimbo zote..mara ooh unajua shetani alinpitia..lakini mwanaume akifanyiwa ivyo sahau!!................kama vp akapige goti vizuri amwendee na vizawadi :majani7:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…