Soma halafu utoe mchango wako

Soma halafu utoe mchango wako

mi nadhani wewe kaka umchukuwe huyo dada na uishi nae kama mke na mune """ i m out""""
 
so sad!ametumia busara zaidi huyo kijna,na huyo mdada imekula kwake na atakosa kote
 
Nae kazidi
hata kama kapata wa kumhudumia
ndo amkane mtoto wake na kusingizia kifo cha dada.
Kabomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe (upumbavu),
anataka ww umshauri nn zaidi.
 
mwache tu awahangaishe hao wa kiume maana na wakiume wenyewe wasumbufu tu ..big up dada...by heartbreaker
 
Tamaa inatuponza sana wanawake!Hope alishafanya kamradi fulani hivi, anachakachua kwa wanaume wawili. Bt its not fair wanawake wenzangu!Mnaonaje nimshauri atubu mbele ya aliowakosea na kwa aliyemuumba, the ajipe adhabu yeye mwenyewe ya kutoolewa hadi anakufa?
 
hakuna ushauri ameshalikoroga hana ujanja..... aanze maisha mapya bila hawara wala mume
 
Duu hiyo kiboko, mara nyingi huwa tunasikia wanaume ndo huwa tunaweka mitala(kuwa na wake wawili kwa wakati mmoja) ila hii ya leo kali! Achana na huyo dada, yeye kafanya makosa sana, nafikiri kitendo cha huyo mwanaume kuondoka na kumuacha huyo dada ni cha kishujaa na kitumike kama funzo kwa yeye na wote wenye tabia chafu za namna hii.
 
Najiuliza je kama mwanaume angekuwa anarudi hata mara moja moja kuja kuijulia hali familia na kumpa mke haki ya ndoa, je hayo yote yangetokea???????? Ukaribu na mkeo nao una-marks zake nyingi tu kwenye kukuza upendo....
 
Najiuliza je kama mwanaume angekuwa anarudi hata mara moja moja kuja kuijulia hali familia na kumpa mke haki ya ndoa, je hayo yote yangetokea???????? Ukaribu na mkeo nao una-marks zake nyingi tu kwenye kukuza upendo....

usinambie hujaona hapo juu kua kila wiki end jamaa alikua anarudi kupalilia shamba...huyo demu kicheche tuu,
 
doh,kwa sisi wanamume huwa tunasema kabisaaa "nina mke na watoto" pengine hata mke akijifungua nyumba ndogo anafahamu...la kini wanawake hawapendi kua wazi na hapo ndo kunapo wagharimu
 
usinambie hujaona hapo juu kua kila wiki end jamaa alikua anarudi kupalilia shamba...huyo demu kicheche tuu,
Nimekusoma...sasa mwanamke kama huyo wa nini tena kwangu!!! KWELI NDOA NDOANO
 
Sasa hapo utamshauri nini wakati yeye ndiye mkosa na jamaa kaishatoa hukumu yake! aanze tu maisha upya ya kuwa deceive jamaa wengine wasiomjua.
 
Huyo ni kahaba
mpotezee atie akili
tangu lini mtu m1
akatumikia
mabwana wawili?
 
Kale kaugonjwa akataisha kwa hali hii unakuja unatongonoka kumbe maharage ya mbea tu! Na hzo kaz za usiku kwa mwanamke Mtihani sana bt nadhani amrudie Mola wake atamsamehe
 
Back
Top Bottom