Aaaaaaaghy ndio maana siku nyingne huwa siwafikiriii kabisa kama nao wapo......angemchinja tu kieleweke
Najiuliza je kama mwanaume angekuwa anarudi hata mara moja moja kuja kuijulia hali familia na kumpa mke haki ya ndoa, je hayo yote yangetokea???????? Ukaribu na mkeo nao una-marks zake nyingi tu kwenye kukuza upendo....
Nimekusoma...sasa mwanamke kama huyo wa nini tena kwangu!!! KWELI NDOA NDOANOusinambie hujaona hapo juu kua kila wiki end jamaa alikua anarudi kupalilia shamba...huyo demu kicheche tuu,