Amen !
. Hili nalo NENO! Taarifa kama hizi zinanikumbusha kumshukuru Mungu kwa baraka zake kwangu. MziziMkavu, count me in buddy...Jamani tulioguswa, Tumchangie huyu mdada akamhangaikie mwanae.kwani tunatoa offer ya bia,wine,whisk ya maelf.tutashindwaje kumsaidia huyu mtoto?