Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

Jamani tulioguswa, Tumchangie huyu mdada akamhangaikie mwanae.kwani tunatoa offer ya bia,wine,whisk ya maelf.tutashindwaje kumsaidia huyu mtoto?
 
Ni vyema wadau wakaelezwa gharama za matibabu yote ni shilingi ngapi ili kwa yule atakapata moyo wa kuchangia afanye mkadirio.
 
nampa pole sana mtoto na huyo mama zaidi sana Mwenyezi Mungu atamjalia wepesi mtoto na hali itakuwa nzuri,
 
Jamani tulioguswa, Tumchangie huyu mdada akamhangaikie mwanae.kwani tunatoa offer ya bia,wine,whisk ya maelf.tutashindwaje kumsaidia huyu mtoto?
. Hili nalo NENO! Taarifa kama hizi zinanikumbusha kumshukuru Mungu kwa baraka zake kwangu. MziziMkavu, count me in buddy...
 
Last edited by a moderator:
Daah nimesikitika kwa kweli....mwenyezi mungu mponye mtoto huyu uwe naye katika nyakati hizi za mateso na shida...amen.
 
Hivi akina kikwete na wengine wanaishi wapi jamani tuliowakabidhi mamlaka? Mbona wana wakiugua malaria na mafua wanakuwa wepesi wa kujuliana hali na kupelekana India kwa pesa za walipa kodi?
Pia kuna ule mpango wa serikali kupeleka watoto India kufanyiwa upasuaji je, huyu kwann hawajamjumuisha kwenye program hiyo au vigezo gani hutumika?
Nchi yetu ni shida jamani. Pole kwa mtoto na mama pia Mungu awatie nguvu na matumaini ktk kipindi walichonacho.
 
Back
Top Bottom