Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
Salaam sana jf,
Naomba kukuwekea hapa, Magari tofauti tofauti kutoka kampuni mbali mbali za uuzaji magari nje, pamoja na bei zake hadi gari kufika bandari ya hapa Dar es salaam (CIF).
Tutaangalia kwa pamoja na kusaidiana ushauri, na kwa ambaye huwenda ameona gari anayohitaji ama kuipenda, anaweza kutuwekea link ya gari husika hapa.
Tutakachofanya, Mimi na wewe tutaangalia na kuweza kumshauri kwa kadri ya uelewa wetu juu ya gari husika.
Na labda kama muhusika anahitaji kuiagiza (kuinunua) lakini kwa namna fulani pesa aliyonayo inatosha tu gharama za manunuzi na kusafirisha (yaani CIF) Ila haitoshi kulipia ushuru, basi usijali nina mtu huwa anasaidia watu kwenye nyanja hii, anakulipia gharama zote za ushuru na bandari, pamoja na kuitoa bandarini kisha unamrejeshea kwa awamu mbili. Ila kabla ya yote, ni lazma atakupatia mkataba ambao ndio ameorodhesha kila kitu.
NOTE:
1. CIF unalipa mwenyewe kwa muuzaji (kampuni ya unaponunulia gari lako) yaani kama ni be forward, enhance, sbt n.k basi unawalipa mwenyewe moja kwa moja huko japan. Unakwenda bank mwenyewe na invoice zako, unalipia mwenyewe.
Kinachotakiwa, ni uthibitisho tu kwamba umefanya malipo, na uthibitisho huo, mtaambatanisha kwenye nakala ya makubaliano yenu.
2. Mimi na anayekulipia ushuru, wala sio kampuni, ni watu binafsi, na pia suala la kulipiwa ushuru sio la lazma ni kama muhusika anauhitaji huo kutokana na sababu kadha wa kadha za kimajukumu.
3. Endapo atakulipia ushuru, gari utabaki nalo mwenyewe, na wala halitokaa kwake, lakini muhimu hua anasisitiza ni kuzingatia makubaliano yenu.
Naamini itasaidia mtu/watu.
Enjoy!