Hii hapa ni 2003 Toyota Harrier/100,400km / 3AZ Engine / 2,390 cc
Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni TZS : 9,047,000/= + c
TAX : 11,145,000/=
Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link
Umeipemda.? Karibu tuwasiliane ...
Ama Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako unafikiria kuiagiza hivi karibuni, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!
If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.
Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.
Enjoy!
NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)