Soma hapa kabla hujaagiza gari, huenda ikakufaa

Prodigy Oligarchy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2020
Posts
571
Reaction score
653
Salaam sana jf,

Naomba kukuwekea hapa, Magari tofauti tofauti kutoka kampuni mbali mbali za uuzaji magari nje, pamoja na bei zake hadi gari kufika bandari ya hapa Dar es salaam (CIF).

Tutaangalia kwa pamoja na kusaidiana ushauri, na kwa ambaye huwenda ameona gari anayohitaji ama kuipenda, anaweza kutuwekea link ya gari husika hapa.

Tutakachofanya, Mimi na wewe tutaangalia na kuweza kumshauri kwa kadri ya uelewa wetu juu ya gari husika.
Na labda kama muhusika anahitaji kuiagiza (kuinunua) lakini kwa namna fulani pesa aliyonayo inatosha tu gharama za manunuzi na kusafirisha (yaani CIF) Ila haitoshi kulipia ushuru, basi usijali nina mtu huwa anasaidia watu kwenye nyanja hii, anakulipia gharama zote za ushuru na bandari, pamoja na kuitoa bandarini kisha unamrejeshea kwa awamu mbili. Ila kabla ya yote, ni lazma atakupatia mkataba ambao ndio ameorodhesha kila kitu.

NOTE:
1. CIF unalipa mwenyewe kwa muuzaji (kampuni ya unaponunulia gari lako) yaani kama ni be forward, enhance, sbt n.k basi unawalipa mwenyewe moja kwa moja huko japan. Unakwenda bank mwenyewe na invoice zako, unalipia mwenyewe.

Kinachotakiwa, ni uthibitisho tu kwamba umefanya malipo, na uthibitisho huo, mtaambatanisha kwenye nakala ya makubaliano yenu.

2. Mimi na anayekulipia ushuru, wala sio kampuni, ni watu binafsi, na pia suala la kulipiwa ushuru sio la lazma ni kama muhusika anauhitaji huo kutokana na sababu kadha wa kadha za kimajukumu.

3. Endapo atakulipia ushuru, gari utabaki nalo mwenyewe, na wala halitokaa kwake, lakini muhimu hua anasisitiza ni kuzingatia makubaliano yenu.

Naamini itasaidia mtu/watu.

Enjoy!
 
Baada ya kulipa ushuru obviously gari itapata usajili, kadi itabaki kwa nani? Muda gani atataka pesa yake iwe imerudi? ,ukishindwa kurudisha baada ya muda huo itakuwaje
Asante sana

Ahsante kwa maswali mazuri.

Juu ya kadi kubaki kwa nani,

na sikumuuliza sana huo upande, kwa sababu kila kitu amekifafanua na kukiorodhesha kabisa kwenye huo mkataba wake.

Mtu anaporidhia, wana sainishana kisheria kisha taratibu zinaendelea.
 
Kuna kampuni ipo hapo Posta mpya Dar es salaam, wao unaagiza gari kama ni ya mil 10, unatoa 5 mil. Ikija wanakulipia iliopungu yako, kisha umawalipa kwa awamu mwaka mzima mpk mwaka na nusu

Dumelang
Ooh , okay .!!
 
Hii hapa 2007 Toyota Ractis /123,172km / 1NZ Engine / 1,490 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 5,564,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2007 TOYOTA RACTIS G HID SELECTION 2/CBA-NCP105 for Sale BH181949 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

Kama ndio, unaweza kuwasiliana nami kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii hapa ni 2004 Toyota Landcruiser Prado /124,393km / 2TR Engine / 2,690 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 22,912,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2004 TOYOTA LAND CRUISER PRADO TX LIMITED/CBA-TRJ120W for Sale BH175223 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Kuna kampuni ipo hapo Posta mpya Dar es salaam, wao unaagiza gari kama ni ya mil 10, unatoa 5 mil. Ikija wanakulipia iliopungu yako, kisha umawalipa kwa awamu mwaka mzima mpk mwaka na nusu

Dumelang
Hakunaga Mambo hizo zama hizi. Utapigwa mchana peupe.bulipe Deni mwaka mzima?
 
Hii hapa ni 2007 Toyota Rush /101,210km / 3SZ Engine / 1,490 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 9,800,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2007 TOYOTA RUSH G/CBA-J200E for Sale BG870475 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii hapa ni 2005 Toyota Rav4 /110,772km / 1ZZ Engine / 1,790 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 10,443,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2005 TOYOTA RAV4 X G PACKAGE/CBA-ZCA26W for Sale BG864714 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT).

Samahani unaweza weka mawasiliano ya hii kampuni ulosema ipo posta? Shukran
Kuna kampuni ipo hapo Posta mpya Dar es salaam, wao unaagiza gari kama ni ya mil 10, unatoa 5 mil. Ikija wanakulipia iliopungu yako, kisha umawalipa kwa awamu mwaka mzima mpk mwaka na nusu

Dumelang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa ni 2004 Toyota Corolla Spacio/km / 1ZZ Engine / 1,490 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 5,889,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2003 TOYOTA COROLLA SPACIO V LIMITED NAVI SPECIAL/TA-NZE121N for Sale BH165791 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT).​

Hii hapa ni 2005 Nissan Xtrail/80,580km / QR20Engine / 1,990 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 7,465,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2005 NISSAN X-TRAIL AXIS/UA-NT30 for Sale BH146682 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii hapa ni 2005 Nissan Xtrail/80,580km / QR20Engine / 1,990 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 7,465,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link..
Uja juhudi za kutoa picha za magari yaliyo nje , unasahau hata lengo la uzi wako, hakuna company details , wala taarifa kuntu ,
Mwishowe uzi wako utaonekana ni wa kitapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…