Soma hapa kabla hujaagiza gari, huenda ikakufaa

Hii hapa ni 2005 Nissan Xtrail/80,580km / 2AZ Engine / 2,360 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 7,047,200

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2005 TOYOTA ALPHARD V AX TRESOR ALCANTARA VERSION/CBA-ANH10W for Sale BG857432 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii kitu naona ndio mtindo wa kisasa wanaofanya dealers wa magari!
Unaagiza gari anakufanyia clearance kwa 100% au una deposit 50% na wao wanamalizia 50% ya clearance charges.

Gari ikitoka wanakukabidhi kwa mkataba nadani unaacha kadi then unakuwa unafanya marejesho ndani ya miezi 3 mpaka 6 ikiwa ni kulipa ile clearance fees iliosalia. Anaigawa kwa mafungu hata matatu ili iwe rahisi wewe kupeleka marejesho na ndani ya hayo marejesho anakuwa ame target faida yake.

Ni biashara nzuri kwa mtu mwenye mtaji mkubwa ukizingatia wengi wanalenga gari za million 5-12 hivyo kodi inachezea 1-6 million.

Akipiga genji ya million 1.5 -2 kila gari ana faida nzuri sana.
 
Hii kitu naona ndio mtindo wa kisasa wanaofanya dealers wa magari!
Unaagiza gari anakufanyia clearance kwa 100% au una deposit 50% na wao wanamalizia 50% ya clearance charges...
Ahsamte mtaalamu wa music, lakini ukiangalia kwenye maelezo yangu, nahisi yao tofauti kidogo.
Rejea nilochosema 'muhusika analipa mwenyewe kwenye kampuni' na kama atapemda kulipiwa ushuru ndipo tunamlipia.

Lakini sio kwamba ananipa Mimi, Mimi ndio nailipa kampuni, hapana.
Wengi naami i huwa wanataka kulipwa wao, kisha wao ndio wanailipa kampuni.
 
Ahaa sawa kabisa
 
Hii hapa ni 2010 Nissan Dualis/81,576km / MR20 Engine / 1,990 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 10,669,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2010 NISSAN DUALIS CROSS RIDER/DBA-KJ10 for Sale BH157752 - BE FORWARD

Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii hapa ni 2004 Toyota Crown Athlete/70,852km / 2ZR Engine / 1,790 cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 6,811,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Used 2004 TOYOTA CROWN ATHLETE/CBA-GRS180 for Sale BH146740 - BE FORWARD

Umeipemda.? Karibu tuwasiliane ...

Ama Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako unafikiria kuigiza hivi karibuni, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Uja juhudi za kutoa picha za magari yaliyo nje , unasahau hata lengo la uzi wako, hakuna company details , wala taarifa kuntu ,
Mwishowe uzi wako utaonekana ni wa kitapeli
Ahsante kwa maoni yako, naomba nikujibu kama ifuatavyo :

1. Uja juhudi za kutoa picha za magari yaliyo nje , unasahau hata lengo la uzi wako,
LABDA NAOMBA UNIKUMBUSHE, HUENDA NIMESAHAU, LENGO LA UZI WANGU NI LIPI, IKIWA LABDA UNAONA NAKWENDA KINYUME.

2. hakuna company details , wala taarifa kuntu ,

NI WAZI KWAMBA, HUJAJIPA MUDA KUPITIA MAELEZO NAMAELEKEZO NILIYOYATOA, AMA KWA MAKUSUDI KABISA UNAAMUA TU KUKOSOA. SOMA MAELEZO VIZURI, NIMEWEKA WAZI KWAMBA MIMI SIO KAMPUNI, NA NIMEWEKA LINK YA KAMPUNI AMBAYO INA GARI HUSIKA. ILI KUKUPA NAFASI YAKUONA DETAILS ZOTE , KUANZIA ZA KAMPUNI, GARI N.K
KUHUSU TAARIFA KUNTU, SIJUI UNAMAANISHA NINI.
 
nimerudia na kurudia tena , sijaona sehemu uliyotoa mawasiliano ya kampuni inayofanya huo mchakato , zaidi zaid ,nimesoma sehemu umesema aliyependa awasiliane nawe umuunganishe na mdau, napo pia hujatoa contacts

kwa kuwa lengo langu lilikuwa ni kuulizia tu , naomba nikuache na biashara yako ,
uwe na siku njema

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Biashara yoyote yenye usiri usiri kwenye details za msingi, hua ndani yake kuna janjajanja na utapeli.
Hata kwenye hizo gari anaonesha bei peke yake, ila gharama ya hio kodi inayopaswa kulipia ikishafika nchini ameshindwa kuionyesha ili akuvutie kwenye urahisi wa CIF uingie mkenge vizuri.
 
Umesoma kwa mlengo wa kukosoa na kuweka picha hasi, na ndio maana huwezi kuelewa.

Ila ukijituliza, ukasoma kwa mlengo wa kujifunza, utaelewa vizuri tu.
 
Ahsante., ila muda huwa haudanganyi tuuachie muda uongee!
 
Hii hapa ni 2004 Toyota Passo/21,466km / 1KR Engine / 990cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 3,386,350

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Japanese Used Cars | Enhance Auto

Umeipemda.? Karibu tuwasiliane ...

Ama Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako unafikiria kuigiza hivi karibuni, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii hapa ni 2011 Subaru Imprezza / 92,144km / - Engine / 1,490Cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 6,872,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Japanese Used Cars | Enhance Auto

Umeipemda.? Karibu tuwasiliane ...

Ama Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako unafikiria kuigiza hivi karibuni, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii hapa ni 2003 Toyota Alphard / 110,140km / - Engine / 2,390cc

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 6,948,000

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Japanese Used Cars | Enhance Auto

Umeipenda.? Karibu tuwasiliane ...

Ama Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako unafikiria kuigiza hivi karibuni, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii hapa ni 2003 Toyota Sienta/ 100,300km / - Engine / 1,490

Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 5,02r,300

Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link

Japanese Used Cars | Enhance Auto

Umeipenda.? Karibu tuwasiliane ...

Ama Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako unafikiria kuigiza hivi karibuni, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!

If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.

Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.

Enjoy!

NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)
 
Hii biashara bado ipo? Naona muanzisha uzi hajibu PM...
 
Kuna kampuni ipo hapo Posta mpya Dar es salaam, wao unaagiza gari kama ni ya mil 10, unatoa 5 mil. Ikija wanakulipia iliopungu yako, kisha umawalipa kwa awamu mwaka mzima mpk mwaka na nusu

Dumelang
Riba kiasi gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…