hv elimu yetu(CLASSICAL EDUCATION) inalenga kuwawezesha vijana wetu kutumia rasilimali za tanzania kujiletea maendeleo?hv kuna siku tutakuwa na vijana wenye utalam km wale wa korea,china ama singapole kwa elimu hii tunayowapa vijana wetu?hv tunaweza kumaliza matatizo ya elimu kwa tume hz zinazopewa kazi ya KUTAFUTA JUA MCHANA KWEUPE?tujadili tafadhali.