Are you relax!? Nimesikitika badala ya kucheka
Jamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..?
jamaa:No
sekunde chache kidogo akapita mzungu mwengine akamuuliza jamaa,Are you relax..?
Jamaa:No
jamaa akaona mizinguo akaamua atembee tembee ufukweni,baada ya hatua chache akamkuta mzungu amekaa akipunga upepo
jamaa likamuulizi are you relax..?
Mzungu:Yes
jamaa kwa jazba likampa mzungu makofi matatu ya upako alafu likamwambia yani wenzako wanakutafuta alafi we umejikalisha hapa tu....!!

ha haaaaaaa noma sanaaaaaaJamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..?