Soma hapa ucheke

Soma hapa ucheke

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Jamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..?
jamaa:No
sekunde chache kidogo akapita mzungu mwengine akamuuliza jamaa,Are you relax..?
Jamaa:No
jamaa akaona mizinguo akaamua atembee tembee ufukweni,baada ya hatua chache akamkuta mzungu amekaa akipunga upepo
jamaa likamuulizi are you relax..?
Mzungu:Yes
jamaa kwa jazba likampa mzungu makofi matatu ya upako alafu likamwambia yani wenzako wanakutafuta alafi we umejikalisha hapa tu....!!
 
Are you relax ndio kusemaje sasa? Inasikitisha kwamba siku yako ya kwanza katika fani ya utunzi umeangukia pua
 
Kingereza cha mwendo kasi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kiingereza cha kwa Mzee Ras Simba

Tusishangae sana
 
Jamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..?
jamaa:No
sekunde chache kidogo akapita mzungu mwengine akamuuliza jamaa,Are you relax..?
Jamaa:No
jamaa akaona mizinguo akaamua atembee tembee ufukweni,baada ya hatua chache akamkuta mzungu amekaa akipunga upepo
jamaa likamuulizi are you relax..?
Mzungu:Yes
jamaa kwa jazba likampa mzungu makofi matatu ya upako alafu likamwambia yani wenzako wanakutafuta alafi we umejikalisha hapa tu....!!
 
Jamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..?
jamaa:No
sekunde chache kidogo akapita mzungu mwengine akamuuliza jamaa,Are you relax..?
Jamaa:No
jamaa akaona mizinguo akaamua atembee tembee ufukweni,baada ya hatua chache akamkuta mzungu amekaa akipunga upepo
jamaa likamuulizi are you relax..?
Mzungu:Yes
jamaa kwa jazba likampa mzungu makofi matatu ya upako alafu likamwambia yani wenzako wanakutafuta alafi we umejikalisha hapa tu....!!

Hii English ya ki Nigeria
 
ha haaaaaaa noma sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom