Soma hapa unipe Ushauri;Mpenzi ana Majini!

Eti majini!mimi ndiyo kiboko yao njoo naye nikupe dawa kama majini kweli tutaona la kama nigeria style utamuona mbele yangu
 

majini hayapendi tigo
 
Hana lolote huyo atakuwa alipata bwana sasa namna ya kukuacha ikawa ngumu kwake, majini yapo ila angekuwa makini angeenda kuombewa hali hiyo inaisha mara moja. tafuta tu mchumba mwingine huyo hakufai mwaego
 
nivitu vya kusadikikaa zaidi...japo kuna habari nyingi na hisi niza alfu lelaa wa lelaaa.binafsi siaminiii
 
Haya madubwana yapo.

Katika ulimwengu huu wa kawaida tunadhani kila kitu ni sawa, lakini katika ulimwengu wa roho kuna mapepo na majini yanapita na kupishana nasi kila siku.Tatizo ni pale yanapokuingia kwa makusudi -( kwe wewe mwenyewe kufanya mambo yatakayoyakaribisha na hii ni mada tofauti) au kwa bahati mbaya.

Kuna majini mahaba, haya hayapendi mtu awe na mwenza. Ukiwa na mke/mume basi yatakufanya ushindwe kabisa kushirikiana na mwenzio kwenye tendo la ndoa. Kwa wanawake, hayo madudu huweza hata kukujia na kujamiiana nawe.
Hivyo anavyosema huyu mleta hoja sidhani ni utani. Wala huyo dada asilaumiwe bali ashauriwe kutafuta msaada wa kiroho kuyaondoa na aepuke vitendo vilivyoyasababisha yakampenda na kugeuza makazi ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…