Soma hapa unipe Ushauri;Mpenzi ana Majini!

Soma hapa unipe Ushauri;Mpenzi ana Majini!

Eti majini!mimi ndiyo kiboko yao njoo naye nikupe dawa kama majini kweli tutaona la kama nigeria style utamuona mbele yangu
 
mzee yapo, na yana wivu ajabu, yanaweza kukuua na wewe kama unayalia nyapu yao...kama yakiamua yanakuacha lakini yanasubiria kuharibu mimba au kuua mtoto wako akizaliwa...nakupa pole..nakushauri umwambie uyo mdada aende kwa walokole akaombewe, usimwambie aende kwa waganga wa kienyeji kwasababu anapoenda huko anazidi kuongeza mengine, itafika kipindi yataanza kumla na tigo sasa.....sijui dini yake lakini asiende kwa waganga w akeienyeji tena..mwambie aende kwa walokole...

majini hayapendi tigo
 
Hana lolote huyo atakuwa alipata bwana sasa namna ya kukuacha ikawa ngumu kwake, majini yapo ila angekuwa makini angeenda kuombewa hali hiyo inaisha mara moja. tafuta tu mchumba mwingine huyo hakufai mwaego
 
nivitu vya kusadikikaa zaidi...japo kuna habari nyingi na hisi niza alfu lelaa wa lelaaa.binafsi siaminiii
 
Join Date : 17th February 2011
Location : Mars
Posts : 251
Thanks 151 Thanked 83 Times in 56 Posts

Rep Power : 21

sweetdada uko fasta ile mbaya kupost juzi tu umejoin leo ushakuwa senior expert... ok majini siyaamini kwani hamna YESU NDANI YENU?Kama yapo huyu bwana ampeleke kwa pastor aombewe au kwa padri apakwe mafuta matakatifu,,aache hizo imani za kuogopa yawezekana huyu DADA HAMTAKI KAONA AMKATAE KWA GIA ya kusingizia jini.
Haya madubwana yapo.

Katika ulimwengu huu wa kawaida tunadhani kila kitu ni sawa, lakini katika ulimwengu wa roho kuna mapepo na majini yanapita na kupishana nasi kila siku.Tatizo ni pale yanapokuingia kwa makusudi -( kwe wewe mwenyewe kufanya mambo yatakayoyakaribisha na hii ni mada tofauti) au kwa bahati mbaya.

Kuna majini mahaba, haya hayapendi mtu awe na mwenza. Ukiwa na mke/mume basi yatakufanya ushindwe kabisa kushirikiana na mwenzio kwenye tendo la ndoa. Kwa wanawake, hayo madudu huweza hata kukujia na kujamiiana nawe.
Hivyo anavyosema huyu mleta hoja sidhani ni utani. Wala huyo dada asilaumiwe bali ashauriwe kutafuta msaada wa kiroho kuyaondoa na aepuke vitendo vilivyoyasababisha yakampenda na kugeuza makazi ndani yake.
 
Back
Top Bottom