Ccm ndio wanautaka kwa sababu mikataba umeiona hapo juu wamesainiKwani watu hamuelewi ninii,, mbn kama hatuwaelewi kwa mba nyie ushoga mnautaka au????

Kipindi kile makonda alipigana Sana vita dhidi ya ushoga lkn serikali ya CCM walimkataa makonda na kuwa upande wa mashogaMikei ya watz imewekwa rehani
kah!kumbe wakina lucas mwashamba,chiembe na tlaatlaa wanapakuliwa na hamsemi
Kaka Umemtaja Tlahtlaa nilecheka sanaaaaa🤣😀😎kumbe wakina lucas mwashamba,chiembe na tlaatlaa wanapakuliwa na hamsemi
Kwahiyo wakubwa mikataba walisaini wenyewe recent washirika wao wakiwakumbusha wanataka kunuangushia jumbai bovu TAL😂😂😂😂wametubiruza sana zama za giza mkuu Pascal Mayalla maoni yako yakoje mbobevu?MaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu.
CCM wanakataa ushoga mdomoni, wanakubali ushoga kwenye makaratasi na mikataba ya kulinda haki za mashoga wanasaini. CCM ni walaghai wasiotaka kuwaeleza ukweli wafuasi wa mbogamboga.
The Progressive Alliance (PA) ni jumuiya ya kimataifa ya kisiasa ya vyama vya siasa na mashirika ya kidemokrasia ya kimaendeleo na kijamii iliyoanzishwa tarehe 22 Mei 2013 huko Leipzig, Ujerumani.
CCM ni sehemu ya Progressive Alliance. PA wanazo “Guiding Principles and Statutes of the Progressive Alliance” ambazo ndiyo commitment ya Progressive Alliance. Mojawapo ni kulinda haki za mashoga.
Commitment ya Progressive Alliance ni kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa usawa katika jamii, kupigania haki za LGBTIQ na dhidi ya kutovumiliana na ubaguzi wa rangi. CCM (Chama Cha Mapinduzi wamesaini.
Kanuni hizi elekezi na maazimio zilipitishwa na mkutano mkuu wa Progressive Alliance (PA) Jumapili ya tarehe 6 Oktoba 2024. Kanuni hizo na maazimio zinachukua nafasi ya zile zilizopitishwa Novemba 19, 2019.
Tarehe 6 Oktoba 2024 ni mwaka jana. Miezi nane iliyopita. CCM walituzunguka, wakasafiri hadi Germany, wakaenda kusaini kanuni na maazimio ya kulinda haki za wapenzi wa jinsia moja wakiwepo mashoga.
Leo CCM wanatupigia kelele hapa baada ya Bunge la Ulaya kuwataka kulinda haki za marafiki zao (mashoga) ambazo wamesaini wenyewe bila shuruti maazimio na kutengeneza kanuni za kuwalinda mashoga.
CCM wamekubaliana na resolution ya kuwalinda na kuwapigania wapenzi wa jinsia moja. Hatusemi haya kuwatetea marafiki wa CCM (mashoga). Tunasema ili kuwafungua macho wafuasi wa CCM waliofichwa
Mkiendelea kuhamisha mjadala wa maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu kesi ya Tundu Lissu tutawapelekea moto kwa 'masponsa' wenu @PA_Solidarity wakate mirija ya pesa zinatokana na ushoga. Shubamiti.
MaCCM acheni upuuzi. Tekelezeni maazimio yote ya Bunge la Ulaya. Maazimio yanataka muache upumbavu wa kuteka watu na kuwapoteza kwa sababu wanakosoa Serikali. Muache kupora uchaguzi.
Bunge la Ulaya limeitaka Serikali ya Tanzania kumuachilia mara moja na bila masharti, kumhakikishia usalama wake, haki ya kesi na uwakilishi wa kisheria; Mwenyekiti wa CHADEMA, SC @TunduALissu .
Bunge la Ulaya linaitaka Jumuiya ya Ulaya (@EU_Commission) na Nchi wanachama wake kufuatilia kwa karibu mamlaka za Tanzania kuhusu kesi ya SC Tundu Lissu na kufuatilia kwa karibu mwenendo wa kesi.
View attachment 3328050View attachment 3328051
Kumbe hao Chawa sio rizki?🤣🤣🤣kumbe wakina lucas mwashamba,chiembe na tlaatlaa wanapakuliwa na hamsemi
Kuna misaada mingi wanasaini kwa maslahi yao tu na sio wananchi
Hivi mnanufaika vipi na hizo hela hata wakituma?
% kubwa ya wenye nchi hawaelewi kabisa utofauti wa misaada na mikopo
Vijijini ndio usiseme kabisa wao wapo wapo tu ila hela wanagawana wengine kabisa
Anasema CCM kuna WasengeremaHalafu mnategea bunge la Ulaya liwafokee
Commitment ya Progressive Alliance ni kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa usawa katika jamii, kupigania haki za LGBTIQ na dhidi ya kutovumiliana na ubaguzi wa rangi. CCM (Chama Cha Mapinduzi wamesaini.
😀😀😀😀We Mwanamke huna hata aibu. Ndio lugha gani hiyo?Mikei ya watz imewekwa rehani
Maccm manafiki sanaMaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu.