Soma Hapa Usije Ukaingia MKENGE

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kwenye Mapenzi lazima mmoja akubali kuwa FALA
na MJINGA ili Mapenzi yaweze kwenda..Hamuwezi
wote eti kuwa SMART...Haiwezekani.. Smart Lovers
dont get far..Huu ndo ukweli. Na ndoa nyingi
zinavunjika coz mifahari miwili imeamua kuvunja
mwiko na kudhania Wahenga walikuwa Mafala kusema Hawawezi kukaa Zizi Moja.. Mke anagundua
Mme kacheat na yeye anampigia jamaa aje afumue
marinda...Eti ndo TIT FOR TAT...Akimwaga Mboga
unamwaga Ugali Kabla hujamwambia MARRY ME
jiulize kwanza..Wewe ni Mjinga au Yeye??Kama
hamna mjinga kati yenu USIJISUMBUE Unajijua wewe kicheche,unaenda na demu wako Gesti ya Mbaliii
ukijua ndo CHIMBO...Ukifika pale Mhudumu anatoa
Funguo namba 203 mara unamsikia Demu
anamwambia,"DADA HAMNA ROOM NYINGINE HII
ROOM KITANDA CHAKE HUWA KINAPIGA SANA
KELELE" Utatoa macho kama umefumaniwa na mke wa Mwanajeshi
 
Mafahari (madume ya ng'ombe) wawili kamwe hawakai katika zizi moja
 
Dem wang hajawah kuniomb hata Mia.. Na utam kashanipa sas simuelew ananipend kweli au
 
hakuna kitu kinachonifurahisha kama unapotoa uzi wa kuwachoma alafu unamalizia na signature yaan unawaua kabisaaa
 
hakuna kitu kinachonifurahisha kama unapotoa uzi wa kuwachoma alafu unamalizia na signature yaan unawaua kabisaaa
Hahhahah.... Unapenda eeh?
 
hakuna namna mjinga lazima awepo bila hivyo hakuna rship hapo........na ndio maana Mungu akasema mmoja awe chini maana nae alijua wote mkitunisha Kifua basi tena!!! sema ndo hvyo tena siku hizi kila mtu anajifanya mjuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…