Soma hii itakusaidia.

Soma hii itakusaidia.

Jaman naombeni msaada. Eti zile direct cost na ada zote tunalipia akaunti moja? Au tunatenganisha? Chuo ni MKWAWA.
Msaada wenu pliz.

Ndio nini? Lugha inakupiga chenga!
 
Kitakuwa cha kule pande za Rorya tu,siyo bure
 
Ila kweli we KAUZUDAGAA unaudhi,kama kweli unategemea kwenda MUCE uje kuwa mwl,kazi ipo. Yaani thread yako ulipoiedt ndo umeiharbu zaidi. Sasa kuandika ;"Please click here" maana yake nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom