Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ni hivi palikuwa na mwanaume mmoja alikuwa anaishi na mke na watoto watatu wamekuza mpaka mmoja kaoa .
Huyo baba alipenda kuvaa nguo nzuri sana na alikuwa anajulikana Kwa kujipenda . Mno Sasa Kuna siku Moja aliitisha kikao Cha ukoo akasema anataka kuoa mke mpya mwenye kuendana naye Kwa mavazi,na Ile kujishauashau .
Nailikuwa hivi haendi na mkewe popote Kwa sababu atamwaibisha. So akakubaliwa na mkewe akaoa mke mwingine mrembo sana. Yule mke wa kwanza alikuwa kijakazi wandani kila kitu aliwafanyia.
Ila naye akapata mtu wa kumuoa ndio hapo ex-mume akaanza vurugumai Sasa watu wanadai ya Nini na huku Alisha muacha ila mwisho wa kila kitu . Aliolewa na huyo tajiri na watoto wake wako Kwa huyo tajiri .
Je ingelikuwa wewe ukiamua kutupa lulu kwenye mti ikachukuliwa utafanyaje na Ili hali ulimdharau??