Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh, I stand to be corrected, Raid Ndadaye, alikufa kwa kuuawa nyumbani kwake au alikufa kwa ajali ya ndege inayoaminika kuwa ilitunguliwa na waasi wa kitutsi, wakati akirejea nyumbani toka mkutanoni DSM?
Huyo aliyekufa kwa ajali Ni ntalyamila mrithi wa ndadayeMmmh, I stand to be corrected, Raid Ndadaye, alikufa kwa kuuawa nyumbani kwake au alikufa kwa ajali ya ndege inayoaminika kuwa ilitunguliwa na waasi wa kitutsi, wakati akirejea nyumbani toka mkutanoni DSM?
haka kanchi kana historia mbaya
Nachoamini mimi ni dhambi kubwa kwa muhutu kumtawala mtutsi kwani tunaamini wahutu hawana akili nzuri na hawawezi kujisimamia mambo yao wao hufaa kutawaliwa na kuchunga :mifugo
mbona pyongyang na seoul hazijaungana tena kuwa nchi moja na ni kabila moja???Burundi Na Rwanda wangeungana Na kuwa
BURWA maana wote ni makabila Na tabia sawa
Interested lakini umevuka pale marais wa rwanda na burundi walivyotunguliwa
Na ndio maana unaona Rwanda ya Kagame leo ukianzia Kirehe, butare, nyakarambi, kayonza, Rwamagana, Chigali, Ruhengeri hadi Gisenyi iko tofauti sana na ile ya wale jamaaaa
Naisi hii ndio itakua mexico ya afrika mashariki maana full kupasuanahaka kanchi kana historia mbaya