IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
Itende high School iliyopo Mbeya mjini, nje kidogo ya jiji, ina tangaza OFA kubwa ya ada ya shule KUTWA sh 250,000 kwa mwaka mzima:
- Hii na kidato cha 5 & 6 tu.
- Kidato cha 6 ni kwa nafasi za KUHAMIA TU; zoezi ni sasa hadi June 30, baada ya hapo huwezi kuhama au kuhamia.
- Kidato cha 5 kujiunga kwa wenye credit zote 3 au pungufu, Ila kwa watakao kuwa na pungufu watahitaji kuresit mwaka ujao (programu ya kuwasiadia ipo).
- Michepuo ni HGL, HGK NA HKL kwa FORM 6
- Michepuo kidato cha 5; HGL, HGK, HKL & HGE
- Anaye taka kuishi bweni ADA JUMLA NI 750,000 SH KWA MWAKA.
- KARIBU; FIKA AU KAMA UKO MBALI WASILIANA NASI KWA 0754-734009 AU itende2011@yahoo.com
- WAHI HII NI FURSA NZURI KWA NAFUU YA ADA NA SEHEMU NZURI YA KUPATA ADVANCED SECONDARY EDUCATION.