Siku moja mume akondoka asubuhi kwenda kazini na kumuaga mke wake anaenda kazini.
Jioni akarudi akiwa na msongo wa mawazo. Mke akamuuliza kulikoni mume wangu.
Mume:- Kazini ofisi imeungua na kuua wafanyakazi wote.
Mke:- wewe umeponaje sasa,
Mume:- Nilikuwa nakunya choo cha jirani.
Mke:- Vipi kuhusu hao walioungua sasa inakuaje kwenye familia zao.
Mume:- Bosi ameamua kuwafidia milioni 100 kila familia ya mfiwa.
Mke:- Ona sasa kunya kunya kwako choo cha jirani, si ungeenda zako kunya ahera tu nipate milioni 100.
Mume akahama nyumba na hakurudi tena.